Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Poleni sana ,biashara imekwisha hapa angalieni msije kuwa kama Arse8
 
Leo L'pool imekuwa kapu la magoli, wasipokuwa makini wanaweza kubugizwa hata goli 5
Naona umekimbia kabisa kule kwenye kijiwe chenu,siku hizi unashinda wapi?
 
Hahaha! nyie ndo mmesema mwaka huu mnachukua 19th title?, aiseeeee...
Dungshit kapata cha kujitetea na leo..refa.
 
Adebayor anapenda sifa nasubiri siku atakayowafunga Man City atakavyoshangilia
 
Naona umekimbia kabisa kule kwenye kijiwe chenu,siku hizi unashinda wapi?

Hahahaha! wee Belo, unataka kunambia huyu ndo yuleyule jamaa yetu wa kulekule mahari?, jina lake refureefu hvi?, aiseeeee! lmao! hahahahahaha!
Ngoja nimchokoze.
 
bwawa la maini linateketea kwa moto wa petrol, the only option remaining is for the coach to look for ways to limit the damages, otherwise mambo ya arsenal yatajirudia leo.
 
<span style="font-family: century gothic"><font size="4">Leo L'pool imekuwa kapu la magoli, wasipokuwa makini wanaweza kubugizwa hata goli 5 </font></span>

Asalam Alyekum ustaadh wangu BAK...samahani...sijui nakufananisha au ndo wewe wewe?..mm naitwa Manda a.k.a. Muzee ya Nane...ushawai nisikia hata kwa bahati mbaya?
 
Reactions: BAK
Dungshit akubal tu Caroll n floopy signing and he is just hyped...naona anamchezesha wik inn week out kujust price tag yake..damn!
 
Dungshit akubal tu Caroll n floopy signing and he is just hyped...naona anamchezesha wik inn week out kujust price tag yake..damn!
ati unamtoa suarez unamuacha kuyt, kesho akiomba transfer kwa kudhalilishwa unasema haipendi liverpool

it is a shame really
 
Daglish naye ni wa kutimua!!
Kaspendi hela za club ovyo ovyo kwa kusajili wachezaji ambao hawana imppact
 
La Nnnnnneeeeeeeeeee! leo mnapigwa nyingi sana.
 
Daglish naye ni wa kutimua!!
Kaspendi hela za club ovyo ovyo kwa kusajili wachezaji ambao hawana imppact
mawazo yako ni sawa kabisa na CCM

you look and sound alike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…