Wakuu Sebastian Coates mchezaji bora kijana wa Copa America 2011 ndio ameshatua Anfield na muda huu Craig Bellamy yupo Melwood anafanyiwa vipimo ili ajiunge na Vijogoo kwa uhamisho wa bure. Walau King Keny amefanya usajili unaoweza kurudisha enzi zetu za kutisha Englanda na Ulaya kiujumla