Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

watani habari zenu ... nimepewa ujumbe na wenger eti mnakikumbuka hiki kichapo..? anasema yeye bado ni kocha soccer ni ileile tu!




Hamna kitu ndugu, we are going to demolish you today. YNWA!!
 
Last edited by a moderator:
watani habari zenu ... nimepewa ujumbe na wenger eti mnakikumbuka hiki kichapo..? anasema yeye bado ni kocha soccer ni ileile tu!

Aiseee we mchokozi sana, khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwa kikosi cha Arsenal msiposhinda leo,kazi mnayo
 
Hata mimi ameniboa kitendo cha kumpiga benchi Raul Maeireles ambaye msimu uliopita alifanya vizuri.Huyu Carol hastahili kuchezea Liverpool
 
Hata mimi ameniboa kitendo cha kumpiga benchi Raul Maeireles ambaye msimu uliopita alifanya vizuri.Huyu Carol hastahili kuchezea Liverpool


Suarez atakuwa anajilamba ulimi akiona hiyo defence ya Arses!
 
Suarez on bench.....Kuyt in.......

Why King Kenny????

King Kenny ananiboa sana anapomweka bench Meirelles. Panga pangua Meireles anatakiwa aanze, najua kuwa huwa anachoka at late stages of the game, lakini alitakiwa aanze then awe substituted. Downing and Enrique were oustanding today. Tunahitaji another top striker sio siri, bila hivyo hata top 4 itakuwa vigumu kufika. King Kenny na huyo Comolli wamchukue yule m-colombia Rolladega toka Wigan. Ila Downing ni kifaa
 
Hongereni kwa kuwafunga (depleted) arsenal...ila huyo Roy Carroll mmmmh!
 
Hongereni kwa kuwafunga (depleted) arsenal...ila huyo Roy Carroll mmmmh!
Toa visingizio vya depleted banaaaa kuwa na majeruhi ama suspensions ni part of the game na sio excuse. Ndio maana kila timu ina kikosi cha watu 25-30. Vidic yuko out for 6 weeks, Gerrard out till October. Ferdinand ameumia.... Kwa hiyo Manure wakifungwa hakuna visingizio
Gerrard pengo lake limeonekana na angekuwepo leo ingekuwa 4-0
 
haka ka kware nimekacheki kule bandani kwake sijakakuta

kuna mtu amekaona?

Your happiness is for the day, mine is for years to come khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ulikuwa unanitafuta wapi? mfukoni mwako? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Your happiness is for the day, mine is for years to come khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ulikuwa unanitafuta wapi? mfukoni mwako? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Just accept it, your small team (Wenger., et al 2011) is not up to the challenge.
 
Kipindi cha Tuma Salamu tehteh Kwanza napenda kutuma Salamu kwa kumshukuru Arron Ramsey Pili Suareeeeeeeeeeeeeeez !!

au kama anavyosema Wacha Kheeeeeeeeee kheeeee kheeeeeeeeeeeeee!!!!!, Kwa ujumla henderson sio mbaya ila yeye na Downing lazima wajitahidi kuichukuwa nafasi kwa Mereles na Maxi hawa lazima waanze na Carroll akae Bench. Kenny Daglish awaweke mpaka wakizoeana.

Kwa wale Arsenal wanaopenda kuingia kumbi za watu kwa fujo sababu ndio tabia zenu humu kuliko timu zote humu kwenye thred ujumbe wenu ni huu.

Arsenal tatizo watu wengi tunawaonea huruma kwa kuwapenda ila hampendeki mnapenda kusema nyie kama Barca hata Velareal na Parlemo wanajiona hivyohivyo mpira wao... mkisema mnakuza wachezaji kuwa wachezaji basi hata lyon na timu za France ndio zinavyofanya labda wenger anafanya hivyo ili timu kubwa zijinunulie. kwa kicheko cha Wacha Kheeeeeeee Khe Kheeeeeeeeeee.
 
The Reds wenzangu hongereni sana, japo bado point mbili tulizoachia kwa Sunderland zinaniuma!! Upangaji wa hii timu unaweza kutugharimu mbeleni, sina tatizo kwa Suarez kupumzishwa kwa sababu alitumika sana ktk Copa America, lkn kwa Meireles sielewi kbs. Huyu jamaa alitupa mabao muhimu sana msimu uliopita. Waangalie wasije wakamkumbuka wakati kimewaka... Lakini tena King Kenny anajua anachofanya, japo sielewi kwanini hasajili striker mwingine.
 
ebastian Coates has been signed, sealed and delivered to Anfield. For a fee of less than half the price of Phil Jones the Merseysiders have bagged themselves twice the player.


Uruguayan heavyweights Nacional received a fax this morning from Liverpool meeting their £7m valuation of the centre-back. The deal concludes a month of intense transfer speculation surrounding the 2011 Copa America Young Player of the Tournament.
 
Gerrard, naskia ManCity wameingia kwenye race, wanaweza kuharibu hiyo deal
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Back
Top Bottom