Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
King Kenny anatakiwa aongeze another striker wa ku-compete na Carrol. La sivo itakuwa yale yale ya wakati wa torress akichemsha basi ushambuliaji unakuwa butu. Maxi is a good subMTM we wacha mie nilitegemea Kelly atakipiga Kulia baadae Maxi angekuwepo kwenye dk za 75 angemuweka winger ya kushoto Caroll hafai kabisa lasivyo tutarudi yale ya zamani bora hata Crouch alivyokuwepo ya kuanza kupiga juu kama dk 1 ya mpira imebakia kisa caroll mrefu. Liverpoolfc na wasiwasi wa comolli kuja kupingana na Kenny. Lucas ndio kacheza vizuri kwa maoni yangu ukitowa Suarez, Reina alikuwa anatamani aende yeye mbele kule.
i dont think liverpool needs another striker, suarez and kuyt could do that...
I wish Carrol asianze kesho
He kills all the good liverpool moves
MTM umeongea Kweli anaruka ruka tu na anasababisha sehemu ya kuingia apigie pira la juu yeye... Kesho napenda iwe hivi listi
-------------------------------------------Reina---------------------------------
Johnson/Kelly---------Carra-----------Agger----------------------Enrique
-------------------------------------------Lucas-------------------------------------------
Kuyt--------------------------Aqua Man--------Adam-------------------Downing
Suarez
katatueni matatizo yenu kama ya shirika la udaHahahahaha!! Wakati mnalipa zile 35m mlikuwa mnachonga sana kwamba kifaa, sasa ndio mmegundua!! Naamini Torres angekuwa bado Liverpool angeanza mbele ya Carrol....mmoja ni proven world-class na mwingine ni championship-class.
Hahahahaha!! Wakati mnalipa zile 35m mlikuwa mnachonga sana kwamba kifaa, sasa ndio mmegundua!! Naamini Torres angekuwa bado Liverpool angeanza mbele ya Carrol....mmoja ni proven world-class na mwingine ni championship-class.
katatueni matatizo yenu kama ya shirika la uda
mmeishia kuweka rehani timu
BTW umepima afya yako, maana hali yenu ni kama tumbaku ya morogoro
ndio maana torres was 15M more expensive let alone salary requirements
rationale ya carrol ilikua nzuri sana, and chelsi were the losers
Business na NC was anything torres cost - 15M so of torres would 20 then AC would cost 5M
It was a rational business decision
BTW, carrol is better than torres for now.. but i dont like him coz the whole team is very fast except him
Tangu mwanzo sikuamini kama Carrol anatufaa, lkn nadhani anaweza kufundishwa na akafaa. Chelsea imeshakariri kusajili wachezaji wazee,
Tangu mwanzo sikuamini kama Carrol anatufaa, lkn nadhani anaweza kufundishwa na akafaa. Chelsea imeshakariri kusajili wachezaji wazee, kama Torres atarudia kiwango chake Carrol naye anaweza kupigwa msasa na akang'aa, hata umri wake unaruhusu. Na ikitokea Mr. Liverpool SG apone mapema na awe kwenye form mabao yatatoka kila upande hata kama AC atakuwa amefulia..
Tangu mwanzo sikuamini kama Carrol anatufaa, lkn nadhani anaweza kufundishwa na akafaa. Chelsea imeshakariri kusajili wachezaji wazee, kama Torres atarudia kiwango chake Carrol naye anaweza kupigwa msasa na akang'aa, hata umri wake unaruhusu. Na ikitokea Mr. Liverpool SG apone mapema na awe kwenye form mabao yatatoka kila upande hata kama AC atakuwa amefulia..
AC is an old-fashioned english number nine, hana talent yoyote, it's all about power and aerial strenght, kwa hiyo tegemea sana long balls msimu huu akiwa uwanjani....he's just a fatter Crouch!
I like SG, is a good player, lakini nafikiri muda wake umepita kama wenzie wa kule Chelsea..lol, nasikitikita kwamba ukweli ni kuwa atastahafu bila kubeba EPL.