Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

S'land wanapitia sana kwa J Enrique..........wamepata kona mbili na hii ya pili mpira umembabatiza SUAREZ....akakimbia nao na kukwatuliwa kwenye 18 ya S'land... PENALTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTT..... Suarez akaipaisha mbaya... that was a GREAT MISSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS

Sema mkuu naona umerudi rasmi.

Safi sana, tuko pamoja.
 
Kafuta madhambi yake sasa......Goaaaaaaaaaaaal!!!!! SUAREZ........
 
Jamani Liverpool wanatandaza soka la uhakika, passi za uhakika , speed,...... Suarez anaiandika LFC goli la kwanza
 
GOAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAALLLLLLLLLLLLLLLLLLL.....Suarez.... Defense ya S'land ndo itajilaumu kwa hili goli........
 
Hio pace ya Downing simchezo lingekuwa bonge la goli.

Ndo mana naita uwezo binafsi... AW kalemba angekuwa EMirate huyu jamaa........ Ile machine aliyoachia basi tu sio bahati yake ... Ila lingekuwa among of the Best goals.... Ila so far jamaa anajua....
 
Ndo mana naita uwezo binafsi... AW kalemba angekuwa EMirate huyu jamaa........ Ile machine aliyoachia basi tu sio bahati yake ... Ila lingekuwa among of the Best goals.... Ila so far jamaa anajua....

Wenger hakulemba aliongeza dau lakini jamaa mwenyewe alikataa Arsenal , kaenda liverpool hili apige story na waingereza wenzake.Arsenal wageni wengi (wafaransa). lol
 
That was a RED card... Koz mguu umenyanyuka... Ila REF ndo anajua zaidi... katoa YELLOW....
 
Wenger hakulemba aliongeza dau lakini jamaa mwenyewe alikataa Arsenal , kaenda liverpool hili apige story na waingereza wenzake.Arsenal wageni wengi (wafaransa). lol

Hahahaha! Atakwendaje kwenye timu ambayo kila mtu anaikimbia?
 
​Beki bado inataka kazi......mambo yenyewe kama haya tutafika this year......
 
Back
Top Bottom