Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

acha umaandazi wewe utani wa jadi wa man utd vs lfc uko palepale kila wakikutana no matter team iko ktk level gani, they have a lot to compete with kutokana na historia zao thats why hata huwa hawauziani wachezaji

Inasaidia nini kama unacompete na mtu ambaye hata ukimfunga yeye anachukua ubingwa na wewe hata kwenye best 4 haumo?
 
Kwa kuwa hatutembei peke yetu

Na kwakuwa Mungu ni shabiki wa Liverpool,

Napenda kuwasibitishieni wanabwawa wenzangu, leo shetani lazima auwawe!
 
Suarez -1...........Man U -0

Mate si unajua Mungu ni shabiki wa Liverpool? Mashetani yatapenyea wapi?
Upo tayari Ku-bet Biya??

Maini yanaliwa mabichi!! hakutakuwa na muda wa kuyakaanga wala kuyachoma!
 
i will go for a two all draw... and a couple of red cards
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…