Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo!!Duh,wanafungwa kwama Taifa Stars...Nway,mpira dk 90,c ndiyo?
 
Umeona mambo ya barca walahi leo burudani mpka sasa 2 bila Mesii na Eto wamewarudisha watu kati...
 
Wanachomoa hapa ze blues through Ivanovic dah na czech anatoa clea goal la Kyut hapa ngoma ipo 1 -1 now dak ya 39
 
mbona hamtupi update?
hii ngoma ianaonekana iko doooro....anyway ngoja nikale msuba
 
Umeona mambo ya barca walahi leo burudani mpka sasa 2 bila Mesii na Eto wamewarudisha watu kati...

Mkuu, ni 4-0 mpaka sasa. Combination ya Etoo, Messi na Henry is just too hot na Bayern wametota jumla
 
Nou camp kweli kutamu yaani hawa ndo wale waliomtoa sporting kwa bao 12 leo chamoto anakipata Walahii
 
[QUOTE=Yo Yo;418110]mbona hamtupi update?
hii ngoma ianaonekana iko doooro....anyway ngoja nikale msuba[/QUOTE]

Mkuu, ni 1 -1. Chelsea wamechomoa kupitia Ivanovic. Half time sasa
 
mbona hamtupi update?
hii ngoma ianaonekana iko doooro....anyway ngoja nikale msuba

😕Ukale msuba tena au ndo hivyo kichwa kimepata moto na presha imepanda kwa sanaa tu..
 
mbona hamtupi update?
hii ngoma ianaonekana iko doooro....anyway ngoja nikale msuba

Dogo huachi kula jani.....unajua side effects zake? husababisha uhanithi hahahaha
 
Hahahahaah mbona raha huu mziki wa Guus ni balaaa....uko wapi invsible?
 
Firing Phir Scolari was the best decision ever!

You think so?!!! wakitwaa ubingwa ndo tunaweza conclude. Liverpool wako strong sana, wamefungwa hapa lakini hawajadata wanajitahidi warudishe!..Game tough though!
 
Back
Top Bottom