naona kama kutakuwa na draw hapa....
Mkuu Viper, Mbona unatabiri draw mapema hivyo wakati ndio kwanza dakika ya 29? Inawezekana lakini.
Duh!! maini yamekomaaa......sijaona ball bado, lakini sidhani kama kuna goal hapa!!!Nimefurahi sana kwani match hii itawakumbusha Man U kwamba ngoma bado mbichi...Kumuotea Arsenal isiwavimbishe kichwa.....
Kwa mwendo huu, naanza kuamini kuwa Man City watakalia usukani leo hii....!!
Mzee wa chuki binafsi karibu.
acha umaandazi wewe utani wa jadi wa man utd vs lfc uko palepale kila wakikutana no matter team iko ktk level gani, they have a lot to compete with kutokana na historia zao thats why hata huwa hawauziani wachezaji