Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

sielewi kwanini jamaa wanacheza kama asenane.... shoot the ball fooking lads
 
Nimefurahi sana kwani match hii itawakumbusha Man U kwamba ngoma bado mbichi...Kumuotea Arsenal isiwavimbishe kichwa.....

Kwa mwendo huu, naanza kuamini kuwa Man City watakalia usukani leo hii....!!
 
Nimefurahi sana kwani match hii itawakumbusha Man U kwamba ngoma bado mbichi...Kumuotea Arsenal isiwavimbishe kichwa.....

Kwa mwendo huu, naanza kuamini kuwa Man City watakalia usukani leo hii....!!
Duh!! maini yamekomaaa......sijaona ball bado, lakini sidhani kama kuna goal hapa!!!
piga kule............kaba huku!! kama card!! ndo mchezo sasa!
 
Gerrooooooooooooooooooooo

Naona bundi wa asenane (wacha1) huyoooooooooooooo anaondoka na kuhamia manure
 
NIMERUDI LFC Wasingemtowa LUCAS LEIVA zaidi yapo tulicheza vizuri ila baada goli hatukuulinda mpira unavyotakiwa nakujaribu kutafuta la Pili. Man united walijiweka vizuri na kuweka bidii ya kutafuta Bao. Hongera kwa wote.
 
acha umaandazi wewe utani wa jadi wa man utd vs lfc uko palepale kila wakikutana no matter team iko ktk level gani, they have a lot to compete with kutokana na historia zao thats why hata huwa hawauziani wachezaji

Trust me, its not as it used to be. It is just another game. Just look at Fergie's staring 11 at you will have your answer.
 
acha umaandazi wewe utani wa jadi wa man utd vs lfc uko palepale kila wakikutana no matter team iko ktk level gani, they have a lot to compete with kutokana na historia zao thats why hata huwa hawauziani wachezaji

Ni kweli kabisa. LUFC na ManU are more than football clubs....they are real traditions just like NY Yankee!!
 
LFC4life.jpg This is what we Bleed in here!
 
SPLASH_SUAREZ_1392483a.jpg

Naona kuna gharika linafukuta
khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom