we nae ***** tu FA wenyewe hawana huhakika na na walifanyalo Liverpool fans tunamsapoti Suarez
Wacha1, mbona unajaribu kumhukumu Suarez kabla hata hajawa convicted? Wewe ungekuwa ndo hakimu nadhani ungehukumu anyongwe bila hata kusikiliza kesi yake.
wenyeji vipi mpo ....?
Nyumba hii wenyewe wameisusa. Ngoja tukaweke kambi kwa Mh PEASANT
Nyumba hii wenyewe wameisusa. Ngoja tukaweke kambi kwa Mh PEASANT
tupo wenyewe naona Tanesco washachukua chao ngoja nikimbilie Bar.
Nyie wageni vipi mbona kelele, nani amewapa funguo?! Wenyeji tulikuwa safari kidogo!
Huyu Charlie vipi? Ile angekwenda nayo mwenyewe...
Dah! Huyu drogba kwa faulo za vile noma, kidogo atulize halafu Reina alikuwa amesimama tu..
Liverpool, this season, have scored 14 goals in the EPL. Only 1 goal more than RVP. 28-58 Over