Asante mkuu, Kila la heri kwenye mechi yenu nawatakia ushindi.hongereni kwa ushindi..
Kweli mkuu, nadhani pamoja na kuwa mara nyingi vijana wanajituma sana lkn bado wanakosa leadership uwanjani, pia huu 'utaalamu' wa kugonga post za magoli sijui wameutoa wapi.Kila nikiwaangalia liverpool nashindwa kuelewa tatizo kama ni leadership on the pitch au upumbavu
we have lost like 10 vital point
manure (drew 2 points lost) it was there for the taking
mansix (drew 2 points lost) even after domination and red card
swansea (fooking dull performance 2 points lost)
fulham (silly silly silly) 3 points lost
norwich - 2 points lost
anyway ndio mpira huo
....wamemuonea kwakuwa anatokea Uruguay,....mbona John Terry hawajamuadhibu mpaka leo?
au kwakuwa ni muingereza mwenzao? this is not fair bana....8 matches ban na
£40,000 fine khaaa?
I hope JT yeye atafungwa jela haswaaa!

Suarez wish is their command ... .... ....
khe khe keh khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
That is wat i called upon....
Hii movie tamu sana, kuna watu wanakula matapishi yao humu.