Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Miafrika nini bana,......unachagua kuchukia rascism unapoitwa 'racist word' na mtu usiyempenda, lakini mwingine akikutamkia " what up mah nigga?" utaona na ngumi kifuani "yooo, safe bruv!

swali la kizushi ....unawajua sana hawa jamaa N.W.A kina ice cube, dre, eazy e...et al....na Hip Hop artists wengi (kina 2pac R.I.P, 50cents, Jah Rule, Snoop Dog, etc) wanatumia neno hilo kwenye raps zao...kwanini iwe derogatory term ikitumiwa na watu baki?

....quoted

...inferiority zetu na u over sensitivity tu bana....crying babies.

Am black and proud, ...huwezi kuwa nyani ati kwakuwa mtu kakuita nyani, no way bana....rascism tunazopigania rights zake ni zile zinazotubagua kwenye haki za msingi,...sio hizi za kuitana ponjoro, mmanga, mmachinga, mlugaluga, nk....

Waafrika/weusi wengi wao wako over sensitive kwenye issue ya kuitana majina ya rangi ya ngozi. Kama alivyosema jamaa hapo juu, mimi pia naamini katika kunyimwa haki ndio ubaguzi, sio majina kama "wewe mtu mweusi". Najua bado kuna tatizo sana accross Europe la kunyimwa haki kutokana na ethnic background ya mtu, kuanzia nafasi za kazi mpaka kunyimwa kuingia Night clubs, ile mibaunsa kwa sababu hata shule haina basi ndo inaona pale ni sehehmu ya kutolea hasira! Hii issue ya Suarez inaweza kuwa ni problem ya translation, ngoja tuone itaisha vipi.
 
suarez alimtamkia neno ambalo hata wachezaji wenzake wa Man U walikuwa wakimwita, hayo ni mambo ambayo yamepikwa ili kumchanganya tu

kibaya ni kwamba FA wana bifu na fifa, wana bifu na UEFA, their soccer is heading in a wrong direction na sasa wanaanza picking on a few player, they went for Kolo, Suarez, Tevez, tusubiri....

I lived in England, they are hypocrits wa hali ya juu sana, but issue ya suarez itawauma pabaya.... Now Terry charges proceed with police, any translation?? FA wanaweza kusema issue iko polisi kwahiyo hatuna cha kufanya hadi faili lirudi, hatapewa adhabu wala nini kazi itakua imeisha
 
Ndo tuanze kuhesabu maumivu,.SG8 sijui na yeye atarudi lini uwanjani..?!

Mkuu, mimi nadhani without Suarez Liverpool will score more goals kwasababu there will be no one marksman!! na ile timu from inside right to the wingers is very fast aisee

I look at it as a challenge but the team will overcome, ni kama ile ya Torres ya last year
 
Unahisi wakina nani wanaweza kusimama pale mbele?! Af kwa nini case ya Terry ipelekwe mahakamani af ya Suarez iamuliwe na FA?! Najua maamuzi kwa Terry hata akikutwa na hatia hawezi kuhukumiwa kimichezo! nimesoma BBC wamedai akikutwa na kosa adhabu yake ni £2,500
 
FA na double standards!!!! Wamekata rufaa UEFA kwa Wayne Rooney kwa rafu amabayo ilikuwa wazii kabisa....Ama kweli " If you cant convince them, confuse them" Wameona dogo hashikiki wanaanza kumchanganya.
 
Niwatakieni sikukuu njema wakuu wangu katika soka...
 
Nachukua fursa hii kuwatakia heri ya sikukuu ya Xmas na Mwaka Mpya mashabiki wote wa Liverpool
 
Kinachoshangaza kwenye issue hii ni kuwa washabiki karibu wote wa timu pinzani wa wameikubali hukumu hii bila mashaka yoyote! Na mategemeo yao ni kuwa Liver bila Suarez itayumba, kitu ambacho siyo sahihi, Liver itakuwa ngumu kudhibiti ikicheza bila Suarez... Tusubiri tuone.
 
Haya wazeiya mpo?! Game linaendelea kati yetu na Blackburn. Vijana wako hivi; Reina, Johnson, Skrtel, Agger, Enrique, Maxi, Henderson, Adam, Downing, Suarez, Carroll. Subs: Doni, GERRARD, Kuyt, Carragher, Shelvey, Kelly, Bellamy.
 
Tunatengeneza chance nyingi kweli za kufunga lkn hakuna goli hadi sasa! Tunahitaji a goal poacher.
 
Hii timu ni zaidi ya ugonjwa wa Moyo! Unaangalia game zake unaishia kutukana tu kwa upuuzi wanaoufanya, Sikuona 7bu ya Carrol kumaniza dk 90.. Af Downing winger gani hawezi kupika cross?! Leo ndo 2meona kwa nini Gerard anahitajika
 
Yaani kosakosa za timu hii zimezidi... Ajabu Maxi anayetupatia magoli anatolewa Carroll anamaliza dk 90..!!!
 
Unahisi wakina nani wanaweza kusimama pale mbele?! Af kwa nini case ya Terry ipelekwe mahakamani af ya Suarez iamuliwe na FA?! Najua maamuzi kwa Terry hata akikutwa na hatia hawezi kuhukumiwa kimichezo! nimesoma BBC wamedai akikutwa na kosa adhabu yake ni £2,500

Ni vizuri ukawa unaandika kitu ambacho una uhakika nacho, otherwise utaonekana kama just another Poo. Sikiliza, kesi ya Terry iko POLISI NA FA kwa wakati mmoja. Ilipelekwa polisi kwa sababu member of the public alitoa malalamiko polisi, iko FA pia kama ilivyokuwa ya Suarez. Uchunguzi/maamuzi ya FA yanaweza kuwa na effect kwenye uchunguzi/maamuzi ya polisi ambako criminal case imefunguliwa ndio maana unaona FA hawawezi kusema chochote mpaka kesi iishe mahakani. If anything, case ya Terry is worse! Hiyo £2,500 ni adhabu atakayopata mahakani, which means FA nao watakuwa na yao, pengine 8 matches kama Suarez au zaidi. Kila chombo kitatoa adhabu yake independently based on the rules/laws/regulations zao, huwezi kutoa hukumu mahakamani kwa kutumia sheria za FA, na vilevile FA haiwezi kutoa adhabu kwa kutumia sheria mama za nchi.
Umeelewa, au kichwa kimejaa POO?!! hahahaha, wazee wa "history" bana, taabu kweli kwenda na wakati!!
 
Tunatengeneza chance nyingi kweli za kufunga lkn hakuna goli hadi sasa! Tunahitaji a goal poacher.

Hii timu ni zaidi ya ugonjwa wa Moyo! Unaangalia game zake unaishia kutukana tu kwa upuuzi wanaoufanya, Sikuona 7bu ya Carrol kumaniza dk 90.. Af Downing winger gani hawezi kupika cross?! Leo ndo 2meona kwa nini Gerard anahitajika

Yaani kosakosa za timu hii zimezidi... Ajabu Maxi anayetupatia magoli anatolewa Carroll anamaliza dk 90..!!!

You can always have Demba Ba from Newcastle for only £35m.
 
Bill Shankly: If you don't support when we draw or lose, don't support us when we win #LFC
 
Back
Top Bottom