Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Siku hizi naona tunaanza kuja wengi ila Mie Bado Maoni yangu Suarez hatakiwi Kutetewa na LFC, LFC inatakiwa kuwa na msimamo mzuri wamwambie kijana akiri makosa aombe msamaha mie pia maoni yangu naona Kenny hafai LFC kashazeeka anatetea ujinga na yeye ndio anayefanya maamuzi, WA-Marekani warudi wawe karibu na timu Watowe Kenny wampe nguvu Comolli na walete fundi mzuri na timu ifumwe vizuri iwe na wachezaji kama United Nation. Naipenda LFC ila mambo tunayoyatetea si mazuri Na kuna wachezaji si wakucheza pale kama Caroll na Downing. YNWA
 
Kwa jinsi timu znavyombwela tukikomaa tunaweza shika ya 3!!!Podolsky ataongeza uhai kushirikiana na Bellamy lakini Carol Mzig jamani mnasemaje?
 
Kwa jinsi timu znavyombwela tukikomaa tunaweza shika ya 3!!!Podolsky ataongeza uhai kushirikiana na Bellamy lakini Carol Mzig jamani mnasemaje?

Vp mkuu 2na mpango wa kumchukua Podosky au unashauri hvy!?
 
we nae ***** tu FA wenyewe hawana huhakika na na walifanyalo Liverpool fans tunamsapoti Suarez

hoja zikiisha dogo huleta viroja

gharika lipi sasa hapo??

some dude are soo weak in judgement and analysis, what a waste

yeah but if that is the case then i remember Van pussie raped someone when he was 20

we cant move like that, accusation and counter accusation may never be classified as gharika

unless hujui maana ya gharika ... and that would be your parents problems kwa kukunyima ilmu ya akhera

luissuarez_1431291a.jpg

FLASHPOINT ... Suarez clashes with Evra

article-2081058-0F50D3D400000578-598_306x273.jpg

Njia ya mwongo fupi kama pua yake ... ..

article-2081058-0F40025100000578-662_468x347.jpg

LUIS SUAREZ could follow John Terry into the courts to face a racism charge.
khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
in the
heart of Milan fans the real hero is Filippo
Inzaghi.
Every match Milan fans sing: "Ohi Ohi Ohi
Pippo Inzaghi segna per noi,” even when Pippo is not on the field.
 
Wakuu vp leo ushindi upo? Binafsi nitafurahi sana kama KD hatompanga AC
 
luissuarez_1431291a.jpg

FLASHPOINT ... Suarez clashes with Evra

article-2081058-0F50D3D400000578-598_306x273.jpg

Njia ya mwongo fupi kama pua yake ... ..

article-2081058-0F40025100000578-662_468x347.jpg

LUIS SUAREZ could follow John Terry into the courts to face a racism charge.
khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Baada ya nyie kuchezea jana kwa full hamu ndo ukaona utupie nn? Subiria tutatoa tamko
 
Acha wampange Gerrard atamrudisha kwenye form. Taarifa zimezagaa kuwa atarudi Newcastle kwa mkopo

Bora tu arudi huko Newcatle kwenye pombe zake za Kienyeji nimekumbuka Pombe ni Pombe tu ya kienyeji au sio ya kienyeji ni pombe tu akazinywe huko North, sema leo atafunga goli, hii ndio listi yangu ya leo. Liverpoolfc tunahitaji Winger wenye akili ya mpira na speed ya kulia na wa kati anayejuwa kweli kukaba na kuchezesha striker aina ya watu kama kina Silva na mata ukiwa na watu kama wale hata striker ikiwa Bomu atafunga.

--------------Pepe--------------

--GJ---Skrtel---Agger---Enrique--

-------Henderson------Adam

--Downing--Gerrard--Bellamy--

-------------Suarez------------- LFC to win 2-1 au City watashinda 2-1 nazani leo mshindi ataondoka na 2-1 Suarez na Aguero mmoja kati yao atafunga mwanzo.
 
Baada ya nyie kuchezea jana kwa full hamu ndo ukaona utupie nn? Subiria tutatoa tamko

Mmekubali chacha maneno kwishnei ..... faini plus eight match ban tulibaeleza mkapinga ..... ... .... Aibu.

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom