Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

shit happens bro... its like scums and aston villa

haya mambo huwezi sema chochote, its the players who decied, although i would say the penalty was a bit harsh

simple as a ABC for a fan!
 
Toka kwenye hii thread, nyie bona mliaibishwa!

Hii thread ilikuwepo kabla haujawa member, na tulikuwa tukichangia bila masharti na tutaendelea kufanya hivyo. Kama unataka thread yako peke yako nafikiri huwezi kuipata hapa JF, labda uanzishe forum yako ya POO Forum.
 
Vigeugeu nyie! Mlikuwa mnasema tushinde mambo yamebadilika mnaanza matusi

hakuna matusi hapo mkuu..ni ukweli mtupu...mlipotoa draw Anfield kwa mpira ule mliocheza siku ile, hakika nilitarajia matokeo kama haya leo...mlichemsha pale Anfield, leo ndio mnakaangwa kabisa.
 
Hii thread ilikuwepo kabla haujawa member, na tulikuwa tukiachangia bila masharti. Kama unataka thread yako peke yako nafikiri huwezi kuipata hapa JF, labda uanzishe forum yako ya POO Forum.

inauma mnavyopondea wakati kabla ya mechi tulikua pamoja
 
Poleni kwa kipondo wazee wa museum, nasikia John Henry anataka kuwapiga chini Sky kuanzia msimu ujao mechi zenu zionyeshwe na History Channel....hahahahaha!!
 
inauma mnavyopondea wakati kabla ya mechi tulikua pamoja

mkuu huo ndio upenzi na ushabiki wa soka ulivyo...ingawa it is sad that you lost to our current competitor...Liverpool winning could have made my day fantabulous!!
 
mkuu huo ndio upenzi na ushabiki wa soka ulivyo...ingawa it is sad that you lost to our current competitor...Liverpool winning could have made my day fantabulous!!

siku nyingine tukifungwa mtupe pole sio tena kuchochea moto
 
Poleni kwa kipondo wazee wa museum, nasikia John Henry anataka kuwapiga chini Sky kuanzia msimu ujao mechi zenu zionyeshwe na History Channel....hahahahaha!!

siku nyingine tukifungwa mtupe pole sio tena kuchochea moto

Ina maana hizo pole za kumwaga tulizotoa hapo juu hazitoshi au unataka tukubembeleze kabisa?!!
 
Duh makocha wanakuwa na imani ya ajabu! Hivi KD alimuweka pale mbele Carroll peke yake akitegemea kuwa atafunga??? Angalau Maxi na Bellamy wangechezeshwa kipindi kimojakimoja...Lkn The Reds wenzangu msikonde tutafufuka mbele kwa mbele. YNWA.
 
pamoja sana mkuu. JFT96 YNWA
 
Duh makocha wanakuwa na imani ya ajabu! Hivi KD alimuweka pale mbele Carroll peke yake akitegemea kuwa atafunga??? Angalau Maxi na Bellamy wangechezeshwa kipindi kimojakimoja...Lkn The Reds wenzangu msikonde tutafufuka mbele kwa mbele. YNWA .

pamoja sana mkuu. JFT96 YNWA

YNWA = You will Never Win Anything
 
Liverpool msipoteze concentration. Kwa uwezo wenu hamshindwi kufuzu Europa League. Kazeni. Hivi Caroll huyu...au basi :lol:
 
Mibaguzi hii ................yaani nimefurahi sana imefungwa.......
 
Mkuu wewe ulitaka nani hasa aanze ambae yuko nje?
Suarez: Ameanza kutumikia adhabu
Gerrard: Ndi kwanza katoka kupona, hawezi kuchezeshwa full match kwa haraka haraka, anaweza kurudi chumba cha majeruhi muda wowote.
Bellamy: Anajulikana medical history yake, hawezi kuanza mechi mbili mfululizo ndani ya wiki moja, sembuse hizo siku 4?!

nasikia amerudi kwa kasi mbaya mr looserpool..
 
Duh makocha wanakuwa na imani ya ajabu! Hivi KD alimuweka pale mbele Carroll peke yake akitegemea kuwa atafunga??? Angalau Maxi na Bellamy wangechezeshwa kipindi kimojakimoja...Lkn The Reds wenzangu msikonde tutafufuka mbele kwa mbele. YNWA.

historia ilinifanya nisiangalie gemu lakini thanks to ageuro, toure and milner..
 
Back
Top Bottom