Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapa refa alitupiga tafu kwa kweli bila kujua.

Huwa tunachukia sana haya mambo ya PGMOL kuomba msamaha baadae. Yametukuta sana sisi.

Hata hivyo, Isak hakuzuiwa kupiga kichwa. In fact, Isak ndiye alikuwa anamvuta Timber na jezi yake baada ya jezi ya Isak kuunasa mkono wa Timber na kumvuta naye. Yaani ilibaki kidogo tu Timber apate injury. Ile ilipaswa kuwa foul kwa Arsenal 😀 😀
 
Hii timu toka ameondoka Klopp
Imekuuwa timu ya kipuuzi sana
Ufaalaaa mwingi sana aisee
Captain aliandika hapo juu, turudi kwenye falsafa yetu ile ile nunua vipaji na uvikuze sio hii falsafa unanua Wirtz kwa 116, Barcola kwa 123£ au Isak kwa 125 halafu la maana hakuna maana wenyewe wanakuwa na presha nyingii

Ona Rio, Nyoni, Koumas, Jacquet wanavyocheza japo ni makinda lakini wanaonyesha kitu hawa wachezaji wa Mabilioni pasua kichwa.

Halafu ikiwezekana Iraola akiongezewa mkataba awe na Mamlaka kama aliyokuwa nayo Klopp asajili mchezaji anayeendana na mfumo wake. Kama Klopp alivyokuwa anasajili Salah ana kasi na pace, Wijnaldun uwezo wa kucheza nafasi tofauti , VVD ana asili ya uongozi. Hii ya kusajili majina sisi hatuiwezi na tutakuwa tunasqjili wachezaji wakija pale watakuwa hawapo comfortable sana kutokana na thamani waliyonunuliwa
 
Watu wa Manchester United mmekuja kumalizia vicheko vyenu huku rudini kwenye uzi wenu
 
IMG-20261102-WA0031.jpg
 
Kwa sasa hatuna scout kama kipindi cha Klopp bali tuna matapeli tu wanaotuletea Magarasa kwa bei kubwa.

  • Witz
  • Barcola
  • Isack

Wote hawa tumepigwa kwa ujinga uliopo pale Liverpool
Imagine combined cost of Liverpool forward line vs Arsenal ilikua £400m na bado hatukua na shot on target like for real na ni Anfield. Huu kama sio ufisadi ni Nini aisee.
Yaani Hughes katupiga vya kutosha aafu huyooo tax haven Uarabuni kula zake maisha.....

YNWA
 
Back
Top Bottom