Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 698
Miafrika nini bana,......unachagua kuchukia rascism unapoitwa 'racist word' na mtu usiyempenda, lakini mwingine akikutamkia " what up mah nigga?" utaona na ngumi kifuani "yooo, safe bruv!
swali la kizushi ....unawajua sana hawa jamaa N.W.A kina ice cube, dre, eazy e...et al....na Hip Hop artists wengi (kina 2pac R.I.P, 50cents, Jah Rule, Snoop Dog, etc) wanatumia neno hilo kwenye raps zao...kwanini iwe derogatory term ikitumiwa na watu baki?
....quoted
...inferiority zetu na u over sensitivity tu bana....crying babies.
Am black and proud, ...huwezi kuwa nyani ati kwakuwa mtu kakuita nyani, no way bana....rascism tunazopigania rights zake ni zile zinazotubagua kwenye haki za msingi,...sio hizi za kuitana ponjoro, mmanga, mmachinga, mlugaluga, nk....
Waafrika/weusi wengi wao wako over sensitive kwenye issue ya kuitana majina ya rangi ya ngozi. Kama alivyosema jamaa hapo juu, mimi pia naamini katika kunyimwa haki ndio ubaguzi, sio majina kama "wewe mtu mweusi". Najua bado kuna tatizo sana accross Europe la kunyimwa haki kutokana na ethnic background ya mtu, kuanzia nafasi za kazi mpaka kunyimwa kuingia Night clubs, ile mibaunsa kwa sababu hata shule haina basi ndo inaona pale ni sehehmu ya kutolea hasira! Hii issue ya Suarez inaweza kuwa ni problem ya translation, ngoja tuone itaisha vipi.