Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

wenger

Issue ya Suarez tamu sana.......... Liverpool have to sell him out if he is a racist, and implications are really serious coz FA say Suarez is not a racist, yet they ban him on racism grounds racist!!!

Yet Terry is their captain

sadly... its gonna hurt FA more and now their soccer is heading to the wrong end, i am sure many revenues will also be affected, especially after all rooney, terry and other english player issues....

I WILL NEVER SUPPORT RACISM, and i would like to know what evra said coz racism is not only from white to blacks but both ways

HAVING SAID THAT, I WISH THE RACISM ISSUES TO BE CONSISTENT
 
Movie bado maendelea mkuu .... .... ...

Kweli mkuu wangu, tuliyasema haya, watu wakatuona tunamwonea gere....safi sana...
Na bado JT....nae akibainika apigwe ban....!
 
Wote tunapinga ubaguzi lakini tunachotaka kutoka kwa FA wafanye maamuzi sawa kwa kila mchezaji. Sio kupendelea wachezaji wao.

Issue ya John Terry wanaizungulusha mpaka leo. Tunasubiri tuone watafanyaje.

AW
Wat' s ur point dude?, unataka kuhusanisha vp ishu ya Rooney na ruling za ndan ya EPL?

Ishu ya JT...nadhan ilikuja weeks aft ya Suarez, and of coz iko kwa uchunguz, akibainika naye basi ale ban tu...au sio?

Unles othwz, thts too low frm u AW nayekujua, u are bttr thn ths dude....m hata angekua Runi au Chicharito, huu useng* is untorelable, siwek ku sympasize naye hata kdg.
 
Issue imashatokea, muhimu kwa sasa ni kuangalia nani atam replace kwa muda...Carrol ni mzigo,.Sa sijui nani atasimama mbele pale!?
 
Huyu Suarez ni mbaguzi sana, pengine zaidi ya makaburu. Kwenye kombe la dunia aliona bora adake mpira kuliko kuacha wafrika wasonge mbele. Aongezewe ban.
 
LFC Statement in full:

Liverpool Football Club is very surprised and disappointed with the decision of the Football Association Commission to find Luis Suarez guilty of the charges against him.

We look forward to the publication of the Commission's Judgment. We will study the detailed reasons of the Commission once they become available, but reserve our right to appeal or take any other course of action we feel appropriate with regards to this situation.

We find it extraordinary that Luis can be found guilty on the word of Patrice Evra alone when no-one else on the field of play – including Evra's own Manchester United teammates and all the match officials – heard the alleged conversation between the two players in a crowded Kop goalmouth while a corner kick was about to be taken.

The Club takes extremely seriously the fight against all forms of discrimination and has a long and successful track record in work relating to anti-racist activity and social inclusion. We remain committed to this ideal and equality for all, irrespective of a person's background.

LFC considers racism in any form to be unacceptable – without compromise. It is our strong held belief, having gone over the facts of the case, that Luis Suarez did not commit any racist act. It is also our opinion that the accusation by this particular player was not credible – certainly no more credible than his prior unfounded accusations.

It is key to note that Patrice Evra himself in his written statement in this case said ‘I don't think that Luis Suarez is racist'. The FA in their opening remarks accepted that Luis Suarez was not racist.

Luis himself is of a mixed race family background as his grandfather was black. He has been personally involved since the 2010 World Cup in a charitable project which uses sport to encourage solidarity amongst people of different backgrounds with the central theme that the colour of a person's skin does not matter; they can all play together as a team.

He has played with black players and mixed with their families whilst with the Uruguay national side and was Captain at Ajax Amsterdam of a team with a proud multi-cultural profile, many of whom became good friends.

It seems incredible to us that a player of mixed heritage should be accused and found guilty in the way he has based on the evidence presented. We do not recognise the way in which Luis Suarez has been characterised.

It appears to us that the FA were determined to bring charges against Luis Suarez, even before interviewing him at the beginning of November. Nothing we have heard in the course of the hearing has changed our view that Luis Suarez is innocent of the charges brought against him and we will provide Luis with whatever support he now needs to clear his name.

We would also like to know when the FA intend to charge Patrice Evra with making abusive remarks to an opponent after he admitted himself in his evidence to insulting Luis Suarez in Spanish in the most objectionable of terms. Luis, to his credit, actually told the FA he had not heard the insult.

Suarez: "Today is a very difficult and painful day for both me and my family. Thanks for all the support, I'll keep working!"
 
Issue imashatokea, muhimu kwa sasa ni kuangalia nani atam replace kwa muda...Carrol ni mzigo,.Sa sijui nani atasimama mbele pale!?

Kama hatakata rufaa na tukashinda mechi ya FA na Oldham, ataanza kutumikia adhabu tarehe 04 January baada ya kucheza na Man City kwenye Premier na atarejea uwanjani tareni 11 February against Mancs wakiwa na "El-Negro" wao Evra.
 
Huyu Suarez ni mbaguzi sana, pengine zaidi ya makaburu. Kwenye kombe la dunia aliona bora adake mpira kuliko kuacha wafrika wasonge mbele. Aongezewe ban.
Hamna usawa kwenye Treatment ya wachezaji wenye ubaguzi...Suarez naona kama wamemuonea..Kuna cases nyingi za racism kwa wachezaji wa Kiingereza dhidi ya blacks...but hamna hatua yoyote inayochukiliwa!!!
 
Huyu Suarez ni mbaguzi sana, pengine zaidi ya makaburu. Kwenye kombe la dunia aliona bora adake mpira kuliko kuacha wafrika wasonge mbele. Aongezewe ban.

Hata wao Uruguay walikuwa wanataka kusonga mbele, na tulipewa nafasi ya kusonga mbele with red card and penalty!! Je kuitwa mweusi ni ubaguzi? mi nadhani ubaguzi ni kunyimwa haki au fursa kutokana na rangi au jinsia au maumbile yako, lakini ukiniita mimi ni mweusi its true mimi ni mweusi!!! Kuninyima haki kwa kuwa mimi ni mweusi hiyo ndiyo issue.

Sasa tujiulize Evra alimyimwa fursa gani au haki gani na Suarez?Video inaonesha baada ya kuitwa na refereena kuonywa wote wawili suarez akampa mkono Evra lakini Evra akautupa mkono wa Evra, nani mbaguzi hapo. Pia tumejiwekea inferior complex kwamba ubaguzi ni kuitwa mweusi au mwafrika, sisi wazungu tunawaitaje? mbona wao hawalalamiki tukiwaita weupe, blonde etc?
 
Reactions: Mbu
Kama hatakata rufaa na tukashinda mechi ya FA na Oldham, ataanza kutumikia adhabu tarehe 04 January baada ya kucheza na Man City kwenye Premier na atarejea uwanjani tareni 11 February against Mancs wakiwa na "El-Negro" wao Evra.

Uwezekano wa kushinda rufaa ni mdogo mno mkuu, labda kupunguziwa adhabu...Af nasikia akiwa Ajax alishawahi kufungiwa miezi 6,..Mi tatizo langu kubwa ni mtu wa kuchukua nafasi yake, ngoja tusikilizie dirisha dogo la usajili..
 
Hamna usawa kwenye Treatment ya wachezaji wenye ubaguzi...Suarez naona kama wamemuonea..Kuna cases nyingi za racism kwa wachezaji wa Kiingereza dhidi ya blacks...but hamna hatua yoyote inayochukiliwa!!!


Leta mfano....
 

Mkuu, sina hakika sana kama alimwita "mtu mweusi....' nadhan kulikua na neno 'nyani..or sthng lyk tht'...lakn pamoja na hayo yte, nadhan (ntaomba kusahihishwa kama nimekosea), mm kukuita ww 'nigga' si ishu, ila mzungu akikuita hvo n ishu, nadhan hii iko hata kweny sheria, historia ya ubaguz wa rang Ulaya na Marekan ndiyo ime prompt mambo ka haya kuwpo kwa sheria zao let alone once upon said (na mtu mweupe towards mtu mweusi), huwa inakua in a offensinsive way (disapprnvng someone), so ndo maana kuna hizo sheria kali.
Additionally, Liva, na kwa mchzaj tegemeo kama suarez thy have to come strong kumtetea tu, kwa sbb na wao kama wakisuthubutu kumponda lazima kwa mujibu wa sheria zao wampe ban na kumlima fine, kitu ambacho hawako tayar kwa sasa, so ain't buying the advocacy kwa hii ishu..
As long as KAKUTWA NA HATIA THN KIFUNGO HICHO HALALI YAKE.
 
Duuh wamemuonea tu jembe letu. Issue inakuwa ngumu wa kuzipa pengo lake. Sijui itakuwaje wakuu.
 
Duuh wamemuonea tu jembe letu. Issue inakuwa ngumu wa kuzipa pengo lake. Sijui itakuwaje wakuu.

Ndo tuanze kuhesabu maumivu,.SG8 sijui na yeye atarudi lini uwanjani..?!
 

suarez alimtamkia neno ambalo hata wachezaji wenzake wa Man U walikuwa wakimwita, hayo ni mambo ambayo yamepikwa ili kumchanganya tu
 
AW kesi ya ubaguzi ni kubwa sana tofauti na hizo za kumpiga mtu ambazo zinatokea kwenye kila mechi,Rooney alifanya kosa akakiri na akaomba msamaha but Suarez hajakiri kosa sasa unategemea nini.Ingekuwa Evra ni mwingereza ningesema kweli wamependelea.Issue ya Terry bado haijaamuliwa wakitoa hukumu ndio tunaweza kuiongelea.Rio Ferdinand alikacha vipimo vya madawa ya kuongeza nguvu akafungiwa miezi 8 na England walikuwa wanakwenda Euro 2004 lakini alifungiwa na kupigwa fine na akaikosa michuano ya Euro
 
Suarez Is Not a Racist

"It is key to note that Patrice Evra himself in his written statement in this case said ‘I don't think that Luis Suarez is racist'. The FA in their opening remarks accepted that Luis Suarez was not racist."

So asserted Liverpool Football Club.

It seems to me that one of the toughest things to prove in life is that you're not a racist. So keen are we to clamp down on the vile nature of racism, we don't really give a comeback to those accused of it; it's an accusation that sticks. If it's just your word against your accuser's, what can you do? How do you prove you didn't say something? – because the absence of evidence means nothing.

Most of the things we say are not captured; although, with loads of cameras on us, the chances should be higher, and the absence of evidence should present some doubt. If you were taking part in an event filmed by a dozen cameras for 90 minutes, then if 10 accusations were made, there's a chance that they'd be picked up. None were on video (and I know a source who has forensically studied the footage at the FA).

Claims that you have black friends just sound hollow and laughable, although presumably racists don't have many black friends. Personally, I thought that the emergence of the fact, via the club's official statement, that Luis Suarez's grandfather was black was quite profound, because it means he has close black ancestors (rather than many millennia ago for the majority of the rest of us). That made me think it less likely that he'd racially abuse someone, seeing as he shares that race in his DNA.

It doesn't make it impossible, of course, but as those genes were passed down, to become ‘part' of his DNA if not as clearly reflected in his skin colour, then I'd expect that to make him more sensitive to the issue. Say that you were basing the judgement on the benefit of doubt; then it would add at least some uncertainty to the equation, just as there'd be uncertainty that a ‘decent' chance of being captured on camera failed. He has lots of black friends and a black grandparent; not exactly the profile for a racist, even if, in Suarez's case, they are dismissed as mere excuses.

More uncertainty would arise with the complexity of the word allegedly used: ‘negrito'.

By all accounts – from many who live in South America, and several linguistics experts I've read on the issue – negrita/negrito doesn't necessarily mean black in Uruguay. It's now often used for black and white people alike; unlike the n-word, which is offensive when used in hate, but is also ironically used by black people ‘reclaiming' it. But the n-word definitely refers to the colour of skin.

Whereas negrito, in Uruguay, does not; not definitively, according to many sources. It is often used to mean friend, or lover, or mate, with the skin colour irrelevant. We can use ‘mate' even when insulting someone, either just as a placeholder or perhaps in irony (‘alright, pal?'), when of course it's not being friendly. But if the word ‘negrito' has a blurred meaning, then it's hard to say with certainty that it was meant with racial intent, or just ‘mate'.

That the conversation took place in Spanish, and not English, also affects the issue. Yes, it was on English soil, so people will say that the meaning of the word in our language only applies here. Ignorance of the law is no defence, but as the conversation took place in Spanish, then surely the nuances in Spanish (and in particular, the Uruguayan dialect) have to come into play. Or so I'd have thought. The reason Suarez admitted to saying it, and has been surprised at the verdict, was because he felt it wasn't used with racial overtones. I'm sure Liverpool thought they'd proved that.

Then there's Evra. He's alleged to have insulted Suarez via his place of birth, and said that the referee was only booking him because he was black; I'm not sure of the truth in this, although the Liverpool statement suggests he admitted to insulting behaviour towards Suarez. Even before the start of the match he was ranting and raving, and at one point provocatively kissed his badge to a section of Liverpool fans. He looked like someone eager to start a fight.

He's been involved in previous racist claims, although none were made directly by him. However, one of the FA panels said he gave evidence that was ‘exaggerated and unreliable'.

Does that mean that he's doing the same this time? No. However, does it lead to some doubt?

Yes.

Just as Suarez appears to have been found guilty on the basis of past misdemeanours (my assumption, but it seems that there's a witch hunt), Evra has apparently let himself down at a previous hearing.

However, while Suarez has ‘previous' for lots of things, there have been no accusations of racism. Again, absence of evidence doesn't mean absence of an offence, but there's no other evidence in existence that suggests he's a racist. And in this case, just one man's word against another's, and a word with many meanings.

Okay, so there's doubt based on the lack of video/audio evidence, with ‘he said, she said' being largely unreliable in the justice system (not that this was as thorough as a full judicial process). Doubt based on Suarez's happily mingling with people of all races and his mixed-race (grand)parentage. There's also some doubt about Evra's credibility, even if that doesn't prove he was misleading this time. There's a little more doubt, as Suarez has no history of this offence; repeat offenders are more likely to continue their recidivist ways.

That's a lot of doubt. Enough to gain the benefit?

However, Suarez didn't have to be proven guilty "beyond the benefit of doubt". This was not English justice, but a sports tribunal. He did not get given the chance to defend himself to a jury of his peers. He faced a small panel, that was not fully independent or without its agendas (such as taking on Sepp Blatter on the issue of racism, and perhaps using this to prove a point). The fact that this was such a tricky issue perhaps made the procedure insufficient; at least John Terry gets to go through a more established process.

People are wrongly convicted of things all the time, especially with only verbal accusations. Cases are frequently overturned; initial guilty verdicts can be appealed, and are often successful.

But once tarnished, it sticks.

Chairman of anti-racism group Kick It Out Herman Ouseley said:

"This charge is not saying Luis Suarez is a racist. It's saying, on this occasion, he used racist language. It doesn't make him a bad guy – he needs to learn what is acceptable."
That almost suggests that he could have inadvertently used racist language; he needs to learn that words have different meanings in England.

But still the headlines scream "RACIST". The player will now be hounded, wherever he goes.
 

Miafrika nini bana,......unachagua kuchukia rascism unapoitwa 'racist word' na mtu usiyempenda, lakini mwingine akikutamkia " what up mah nigga?" utaona na ngumi kifuani "yooo, safe bruv!

swali la kizushi ....unawajua sana hawa jamaa N.W.A kina ice cube, dre, eazy e...et al....na Hip Hop artists wengi (kina 2pac R.I.P, 50cents, Jah Rule, Snoop Dog, etc) wanatumia neno hilo kwenye raps zao...kwanini iwe derogatory term ikitumiwa na watu baki?

....quoted
"Chicharito" Hernandez yesterday highlights the goal scored by another young man as Omar Esparza, in a win over Tigers: "I liked the goal of the Negrito (Omar Esparza),...

...inferiority zetu na u over sensitivity tu bana....crying babies.

Am black and proud, ...huwezi kuwa nyani ati kwakuwa mtu kakuita nyani, no way bana....rascism tunazopigania rights zake ni zile zinazotubagua kwenye haki za msingi,...sio hizi za kuitana ponjoro, mmanga, mmachinga, mlugaluga, nk....
 

Asante sana Limbani.
Ujinga huu wa mtu mweusi kushindwa kutofautisha nini ni ubaguzi na nini
kusifiwa, hovyo kabisa! hakuna binadamu ambaye sio mbaguzi...

jichunguzeni jamani,...ni kawaida mtu kujiona ni mbora kuliko mwenzake.
Nyerere aliyakemea haya ili tufauti zetu tuzizike vifuani mwetu, tusizitoe hadharani...
kama "alivyotufundisha" enzi zile kuchukia makaburu, walowezi, makabaila na wanyonyaji.

...tafsiri ya suarez na chicharito kuhusu evra ni sahihi kabisa...."kajitu kafupi keusi -machachari!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…