punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Unajua inabidi tufanye operationTena mnazi wa Liver haswa kuliko unavyodhani.
Hongereni Maliver wote popote mlipo hasa Liverpoolfc, angalau mmefarijika sasa na hako Carling cup
sikuipenda. 6 defenders? Next time itawacost..Sasa hawa ma-defender anaojaza humu haoni anakaribisha matatizo?
Huyu kocha wetu ana vituko kweli! Sasa hawa ma-defender anaojaza humu haoni anakaribisha matatizo?
Eti hako ka Carling Cup.. Haka ndio kanakopeleka watu UEFA waliko Man Utd na Mchumba wake Man shiiiit!! Watu bwana timu zao zikitolewa wanaanza kudharau wenzao waliofanikiwa. Kama ni kombe kubwa Ulaya ni Uefa Champions League sisi ndio vijogoo nani mwingine?Hongereni Maliver wote popote mlipo hasa Liverpoolfc, angalau mmefarijika sasa na hako Carling cup
Kati ya vituko vyote ni kile cha kumwacha Big Andy dakika zote 90 huku akizurura tu uwanjani....Anapanga basi utadhan Roy Hodgson? Timu imecheza mpira mbaya kweli 2nd half
hongera zenu wakuuu...
Heeheeee! Mkuu ili wakuelewe vizuri sema Man City na demu wake Man six....!!!Eti hako ka Carling Cup.. Haka ndio kanakopeleka watu UEFA waliko Man Utd na Mchumba wake Man shiiiit!! Watu bwana timu zao zikitolewa wanaanza kudharau wenzao waliofanikiwa. Kama ni kombe kubwa Ulaya ni Uefa Champions League sisi ndio vijogoo nani mwingine?
Hivi Clichy na Nasri walikuwa mizigo Arsenal...!?Wamejitahidi, wakiendelea hivi wanaweza kuwa :third:
Nani alikudanganya kuwa LiverpoolI'm looking forward to it:tongue:
Tunahitaji washambuliaji wapya wawili na winga Carroll Bado sana Kuyt umri umemtupa