Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu kocha wetu ana vituko kweli! Sasa hawa ma-defender anaojaza humu haoni anakaribisha matatizo?
 
Hongereni Maliver wote popote mlipo hasa Liverpoolfc, angalau mmefarijika sasa na hako Carling cup
 
Full time Man City 0-1 Liverpool. Hongereni sana The Reds wooote! Tufurahie ushindi huku tukijiandaa kwa mechi zijazo... Tuna fixtures ngumu kweli kipindi hiki.
 
Hongereni. Ingawa mabadiliko ya tactics ni muhimu. 4 shots on target and 1 off,si dalili nzuri.
 
Hongereni Maliver wote popote mlipo hasa Liverpoolfc, angalau mmefarijika sasa na hako Carling cup
Eti hako ka Carling Cup.. Haka ndio kanakopeleka watu UEFA waliko Man Utd na Mchumba wake Man shiiiit!! Watu bwana timu zao zikitolewa wanaanza kudharau wenzao waliofanikiwa. Kama ni kombe kubwa Ulaya ni Uefa Champions League sisi ndio vijogoo nani mwingine?
 
Huyu KD ananiboa katika kumpanga AC dakika zote 90 wakati ameshaprove failure jaman hamna wa kumwambia kwa nini maxi na kuyt hawapangi. Andy ni mzigo jamani, badala ya kufunga yeye anaokoa.
 
Eti hako ka Carling Cup.. Haka ndio kanakopeleka watu UEFA waliko Man Utd na Mchumba wake Man shiiiit!! Watu bwana timu zao zikitolewa wanaanza kudharau wenzao waliofanikiwa. Kama ni kombe kubwa Ulaya ni Uefa Champions League sisi ndio vijogoo nani mwingine?
Heeheeee! Mkuu ili wakuelewe vizuri sema Man City na demu wake Man six....!!!
 
Tunahitaji washambuliaji wapya wawili na winga Carroll Bado sana Kuyt umri umemtupa
 
Back
Top Bottom