Teheteh, na Torres!
huyu eagles itabidi timu kubwa zimnunue..
Daglish anachoweza ni kuwamotivate wachezaji but kiufundi hana lolote.Alipata mafanikio enzi hizo siku hizi soka limebadilika
Steven Gerrard rues the defeat
Mark Davies puts Bolton 1-0 up
Zat Knight challenges Andy Carroll
khe kh ekhe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Asante mkuu! Naona umefurahi kweli!!
Jamaa anachekesha kweli... Nashangaa last week hakutuwekea mambo ya Swansea!!!naona unawakilisha umichuzi ankoli wacha1
Jamaa anachekesha kweli... Nashangaa last week hakutuwekea mambo ya Swansea!!!
Haahaaahaaaa! Jamaa wa ajabu sana hawa. Hata hapa nina Liver wenzangu ambao tukishinda ndo utawaona hapa!! Kaazi kwelikweli.kuna wacha na mfarisayo wao wakifungwa jukwaani hawaonekani kabisaa...