Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

same same story over and over again.
Sijui akija nani fulani akipona, mara ooh sasa tumesajili fulani, eeh, King nani sijui ndo amerudi rasmi.?
Ninavyowajua Reds hawakawii kutuonesha maajabu hapo Wembley hiyo tar. 26.
Hongereni kwa kunifungia mwarabu though!

Ni kweli maajabu yanakuja. Kombe la kwanza la msimu hilo.
 
MAN-CITY-SPLASH_1443460a.jpg


Hongereni wakuu mmewaonyesha pesa sio soka .... .... ..
Waamue kunyoa sasa .. ..... ... maana walisuka.
Hii yako hata kama umeitoa kwa bahati mbaya naipokea...! ASANTE!
Vipi lkn, leo mbona hakuna picha?!
 
Asante Mkuu.... Kila la heri kwenye Europa na ligi kuu, ila wachezaji wenu wajirekebishe vinginevyo hali yenu ya nidhamu sio nzuri

mkuu nahisi tutakuwa kama arsenane kushiriki ndio zetu..
 
Na nyie vipi kwa kushiriki EPL 20 something years and still counting .... ... . wivu tu khekhbe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee


TEHTEH DUH SASA HAPO SIJUI NANI ATAKUWA MWENYE WIVU KWANI ARSENAL "Champions League" ni lini walishinda? kama hawakushinda ni miaka mingapi hiyo sasa tuandikie, sio wivu au chuki ni ukweli ambao nataka kujuwa labda sijui. kuhusu EPL 20 and counting sie ni kweli hilo.
 
leo siongei sana jamaa wamepata moto baada ya kuwafunga man city mara kadhaa ila manchester united
 
leo siongei sana jamaa wamepata moto baada ya kuwafunga man city mara kadhaa ila manchester united

kwa defence ipi ya manure ya kustopisha pace ya bellamy & co?

.......anyway, asante kwa utabiri "sheikh yahya".
 
Back
Top Bottom