Babuu blessed
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 1,362
- 490
Liv 2 man1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo vipi wakuu?
leo siongei sana jamaa wamepata moto baada ya kuwafunga man city mara kadhaa ila manchester united
leo siongei sana jamaa wamepata moto baada ya kuwafunga man city mara kadhaa ila manchester united
Kaka we mchokozi! Mbona kila siku nalala vizuri?! Ila kweli leo Vijana wamenifurahisha japo nilipomuona Carroll kwenye lineup yetu nilichoka! Ila ka-assist goli la pili.manure kanyewa mbili kwa moja na leo ndugu yangu p red utalala vizuri enhee..
Matokeo vipi wakuu?
Vijana kumbe wanaweza, safi sana hakuna cha man c wala manure wote vichapo.YNWA FOREVER
hawa siyo wa kuwaamini kabisa yaani udhamini imekula kwako...Vijana kumbe wanaweza, safi sana hakuna cha man c wala manure wote vichapo.YNWA FOREVER
Asante mkuu. Kila nikiiona hii ID yako ninacheka kweli! Nakumbuka ile ya awali na mechi 'yake' ya mwisho.Hongereni wakuu.
The double ipi mkuu? Hii round ukipakatwa ndo imetoka! Hakuna marudiano, ingekuwa sare ndo tungerudiana.
...mnatishaaa!!!!....
mlianza na man citeh, sasa man ure!....mnatisha babaaake,
baada ya msimu wenye ups and lows, mtaweza the double?
The double ipi mkuu? Hii round ukipakatwa ndo imetoka! Hakuna marudiano, ingekuwa sare ndo tungerudiana.