Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ila Leo Nimefurahi Tumeshinda Ila Mkuu Suarez ingekuwa vizuri wangekutana na Evra wakapatana ingekuwa vizuri kwa kuosha matatizo ya baazi ya mashabiki.

kweli kabisa mkuu..
 
Ila Leo Nimefurahi Tumeshinda Ila Mkuu Suarez ingekuwa vizuri wangekutana na Evra wakapatana ingekuwa vizuri kwa kuosha matatizo ya baazi ya mashabiki.

mkuu pazi kuna jamaa mmoja kule kwenye uzi wa man kasema kuyt alikuwa anamuita evra defender defender ni kweli au uzushi..
 
Basi Leo Tutaharibu huyu Babu Kenny vipi anampanga huyu Spering marafu si bora angempandisha Juu yule Dogo "Suso" basi sitoshangaa leo kutoka Draw.
 
Aunty Carolina kafunga still hana mpango walete Defoe.
 
Belly Boy 2-0 to Liverpool Football Club YNWA!
 
Sie Kama Wanaume TMK tunasema "TATU BILA" Muuwaji wa Manure Dirk Kuyt.
 
Yap! Mambo ndo haya... Leo sharobaro Carroll kafunga!
Huko kwa watani zetu Everton kulikuwa na kituko, shabiki kavamia uwanjani kaenda golini akajitia pingu kwenye goli!! Balaa, ila wamemnasua!
 
Yap! Mambo ndo haya... Leo sharobaro Carroll kafunga!
Huko kwa watani zetu Everton kulikuwa na kituko, shabiki kavamia uwanjani kaenda golini akajitia pingu kwenye goli!! Balaa, ila wamemnasua!

Nimemuona MChawi wa RED DEVIL yule tehtehteh! au Itakuwa Jamaa wa Everton kasema hapa sitoki mpaka wa Sign Messi lol! Leo Siku ya Maajabu hata Ashley Cole Kalimwa Red Card? haya Suarez ndio anarudi wamtafutia masababu na ajifunze kutolalamika walete Totenham.
 
Asante, vipi kuna mtu alikudanganya kuwa kuna msiba huku??? Hafi mtu hapa.
Umeanza kusahau dozi za Stoke na Bolton,but uzuri siku hizi misiba ni kitu cha kawaida kwenye Premier League
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…