Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

na hapo hata kaa aelewane na wachezaji wa man maana hata rio amemtolea macho kama nini..
Mkuu, ni mchezaji gani wa Liverpool anayeelewana na wachezaji wa man u??? Tatizo lililopo ni kuwa FA inajaribu ku-justify adhabu yake kwa Suarez, angalia, mechi ya Chelsea na QPR walipiga marufuku handshake kwa wachezaji. Suarez na Daglish wanaamini kuwa adhabu ilikuwa batili... So wanaotamani mkono wa Suarez watajibeba! Nani anajua labda Evra angelalamikia kuwa Suarez amemfinya kibaguzi??!
 
safi sana naona watalia kisa suarez kafunga..baada ya kupata pasi kwa rio..
 
I'm scared you might be a fool more than me, that was tit for tat retaliation after Evra snab
Fool than you!!! Kwa unafiki wa waingereza uko sawa kabisa! Kuwa mchezaji akimfanyia mwenzako kitendo kisichostahili ruksa na wewe kumfanyia...!! Akimkanyaga mwenzako na wewe unamkanyaga, kwa England ni sahihi!!
 

Mambo baaaaaado!
 

Mtabani,ulinkaa?? Utajuta na pombe zako za bei rahisi wale ndo Manchester United nyinyi bado wadogo sana.My deepest condolences to the Liverpool family esp. Ta Muganyizi for the slow death at Old Trafford.Mpora!!!!
 
Unajua mkuu, watu walishazoea kubebwa/kusaidiwa kama rais wao! Ukisoma kwa makini baadhi ya mawazo utagundua ni kama vile wanataka waafrika wapewe 'viti maalum' katika kila timu ya majuu!! Shame on them..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…