Mbona mnalilia hivyo handshake ya Suarez??? Hamjawahi kuona wachezaji wamechuniana?! Na waingereza walivyo wanafiki tutakoma na kelele zao, hizi zenu ni cha mtoto!Tweet my #handshake.
Suarez is a disgrace to Liverpool and sports.
Mbona mnalilia hivyo handshake ya Suarez??? Hamjawahi kuona wachezaji wamechuniana?! Na waingereza walivyo wanafiki tutakoma na kelele zao, hizi zenu ni cha mtoto!
Poleni vibonde komaeni na FA na Carling Cup
mi nilikuwa nataka afunge tu.. basi
safi sana naona watalia kisa suarez kafunga..baada ya kupata pasi kwa rio..
Mbona mnalilia hivyo handshake ya Suarez??? Hamjawahi kuona wachezaji wamechuniana?! Na waingereza walivyo wanafiki tutakoma na kelele zao, hizi zenu ni cha mtoto!
Unajua mkuu, watu walishazoea kubebwa/kusaidiwa kama rais wao! Ukisoma kwa makini baadhi ya mawazo utagundua ni kama vile wanataka waafrika wapewe 'viti maalum' katika kila timu ya majuu!! Shame on them..
safi sana naona watalia kisa suarez kafunga..baada ya kupata pasi kwa rio..
Vipi kaka limekuchoma??? Rudi basi kule juu ukamjibu vizuri aliyeuliza swali 'lisilo' la kipuuzi!!mpuuzi mkubwa, chukua zawadi yako :A S thumbs_down:
Mbona mnalilia hivyo handshake ya Suarez??? Hamjawahi kuona wachezaji wamechuniana?! Na waingereza walivyo wanafiki tutakoma na kelele zao, hizi zenu ni cha mtoto!
Af mbona issue ya Terry na Bridge walivyochuniana issue haikuwa kubwa kama hii!? Af watu wa Man mbona hawamuongelei Rio alivyomkaushia Suarez!? Ka kumuita mtu kwa rangi yake ni ubaguzi, basi waAfrika ni wabaguzi sana maana tunawaita wazungu au whitemen.
Tafuta wa kudanganya! Rudia kusoma vizuri hiyo apology hutaona mahali alipomuomba msamaha mwafrika oops mzungu evra. Na tayari kama kawaida waingereza wapiga kelele wameanza kulalamika kuwa maneno yamepangiliwa kwa ufundi kuepuka kumuomba msamaha 'mzungu' wenu. Unafiki wa ndugu zako utawatesa sana.. QPR vs Chelsea no handshake na issue ni hiyohiyo ya maneno ya kibaguzi unayojaribu kujifariji nayo huko juu, hakukuwa na hizi kelele zenu. Kabla ya mechi ya Chelsea na man u Fednand aliapa kuwa hatampa Terry mkono hatukusikia jitihada wala makelele ya kushawishi wapeane mikono, bahati tu Terry akawa majeruhi hakucheza. Adebayo alifungiwa kwa kushangilia mbele ya fans wa Arsenal! Sasa subiri ripoti ya refa tuone mzungu evra atazawadiwa nini kwa kwenda makusudi kushangilia mbele ya Suarez, tena alimwelekezea makalio Suarez!!Mkuu issue ya JT na Bridge haikua inahusisha suala la ubaguzi. Wao walichunia kutokana na kuchukuliana wapenzi. Sasa hapo ulitaka hilo jambo lipewe airtime wakati sio isho kiivyo.
Suala la Patty na Suarez linahusu ubaguzi,ambao unapingwa sana katika modern sports. Sasa kwa alichokifanya Luis lazima kipigiwe kelele. Na ndio maana amemwomba msamaha Evra.
Kuhusu Rio kukataa mkono wa Luis,ile ilikua ni wazi ingekua vile. Na ile ni kuonyesha kwamba Rio yupo pamoja na Patty,na hakubaliani na ****** wa Luis.