punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Kwenye mechi hii Henderson na Carroll wamekuwa mzigo kwa timu, sijui kama KD atakuwa na guts za kuwatoa kipindi cha pili au ataendeleza imani zake kwa wachezaji wachovu!
Wote wamekimbia...Mkuu naomba matokeo
cardiff 1 - 1 lpool
sketi kaokoa....
Mkuu hebu nitake radhi!! Umemaanisha nini kusema wote???Wote wamekimbia...
Ngoja sisi wageni tuendeleze hili li sredi!
So far liver kashachezea kamoko bila
Duh dakika thelathini za ziada! Fainali ni fainali tu, hata ukutane na timu ndogo! Ila hili kombe letu tu... Sisi ndo majogoo bana.
Naona umerudi baada ya kusawazisha!Mkuu hebu nitake radhi!! Umemaanisha nini kusema wote???
1-1. Tuko kipindi cha kwanza cha dakika 30 za nyongeza. Na Carroll katoka kaingia Kuyt.tunaomba matokea ya"majogoo"wakuu!
Vaa miwani ili uone kuwa niko hapa mda wote.Naona umerudi baada ya kusawazisha!
Mi nasubiri tu suprise hapa!
Poa mkuu!1-1. Tuko kipindi cha kwanza cha dakika 30 za nyongeza.
Mkuu utanisamehe! Nilipokuwa najiandaa kukujibu Kuyt akapiga bao ikabidi nirukeruke kwanza! Vijamaa vinajua kubana... Lkn ndo hivo 1-2 kwa LiverpoolPoa mkuu!
But kwa jinsi unavyoiona game tutatoka?au hao madogo watatubania???