Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwenye mechi hii Henderson na Carroll wamekuwa mzigo, sijui kama KD atakuwa na guts za kuwatoa mwanzo wa kipindi cha pili au ataendeleza imani zake kwa wachezaji wachovu!
 
Vipi majogoo mmenyeshewa tayari??! Liverpool ya ukweli haina mashabiki wakata tamaa na waoga kama nyie!! Badilikeni jamani...!
 
Duh dakika thelathini za ziada! Fainali ni fainali tu, hata ukutane na timu ndogo! Ila hili kombe letu tu... Sisi ndo majogoo bana.
 
Poa mkuu!
But kwa jinsi unavyoiona game tutatoka?au hao madogo watatubania???
Mkuu utanisamehe! Nilipokuwa najiandaa kukujibu Kuyt akapiga bao ikabidi nirukeruke kwanza! Vijamaa vinajua kubana... Lkn ndo hivo 1-2 kwa Liverpool
bado dkk chache.
 
Back
Top Bottom