CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Hongereni Liverpool
Ahsanteni kwa kutupa matokeo wakuu!!Hongereni kwa kupata kombe.
Kuna katimu kamoja,sasa ni mwaka wa 7 kanaruka ruka tu bila hata Carling Cup!
We nawe mzito kuelewa......Mbona umeshajibiwa kwenye post namba 3359?!!!!Weka matokeo hapa plz!!
Poa mkuu!We nawe mzito kuelewa......Mbona umeshajibiwa kwenye post namba 3359?!!!!
Liver wameshinda kwa penati 3 dhidi ya 2 za Cardif City
naona ndugu ya Gerrad kaamua kumpa zawadi Kaka yake.............
bado kombe la FA.....
Asante mkuu, ilikuwa si mchezo jasho hadi kwenye ulimi!!hongereni kwa kikombe cha kwanza msimu...
Amen!!!ooh! Haleluyah...
Hongereni sana at least kina Pepe Reina wanabeba kombe