Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pazi said:
Man of the Match
Wangu alikuwa Skertel ila Downing leo kajitahidi japo
hatukucheza vizuri
Downing alichukua Man Of The Match...Sio siri toka asajiriwe jana ndo kaonyesha uhai
 
Hongereni kwa kupata kombe.

Kuna katimu kamoja,sasa ni mwaka wa 7 kanaruka ruka tu bila hata Carling Cup!

Alafu hao jamaa unaowaongelea ndio walikuwa Wakirusha Comment upesi kweli za kucheka na kufurahia Cardiff na walikuwa wanatowa vikohozi vya unafiki! na ndio hao hao hawakuja kutowa pongezi. wenye kubeba makombe huwa wanatowa pongezi hata kwa adui sikuzote mzee wa Picha na kicheko cha Kheeeee Kheeee Kheeeee sijamuona.
 
Chelshit na Assnals hawana credibility yoyote ya kushindana na Liverpool kwa namna yoyote ile. Wakae kimya wanyamaze mpaka miaka 50 ijayo watakapobeba UEFA CL mara 5, Carling Cup na FA sawa na sisi bila kusahau EPL. Hata hivyo labda sisi tuwe tumeshuka daraja. Viva Liverpool, You Will never walk alone lads! Leteni na FA kisha tuingie top 4 tukacheze UCL nasikia Guardiola anatamani kulipa kisasi cha kuondolewa mwaka 2007. Anadai ametumisi sana kwa sababu timu za EPL zote hazitoi changamoto yoyote
 
what a fabulous stepping stone for king kenny and liverpool for more silverware for the coming decade!!

next 1 ......FA cup 2011/2012

next 2......EPL title #19 season 2013/2014. if we buy 2 (chikarito-like) goal-poachers this summer, 2012/13 is also possible.

watch us on this page!!
 
Mbona kaka mwenyewe kakosa peneti yake? Au na yeye alikuwa anampa zawadi nani?
Achana na mtu wa majungu... as if safari yote toka Exeter, Brighton, Stike, Chelsea, Man City na fainali huyo Gerrard ndie alikuwa anatoa zawadi. Maneno ya mkosaji tu
 
Hey majogoo, naamini weekend inawaendea vema... Dakika chache zijazo tunakipiga na arsenal... Kila la heri kwa The Reds wenzangu wote..
 
Sharobaro Carroll Bellamy na Maxi wako bench, Gerrard, Glen Johnson, na Daniel Agger wote ni majeruhi. Mzee Carragher na dogo Kelly wanaanza leo...
 
Sijawahi kuona kikosi cha Liverpool kinachokosa penalty kama hiki!!! Kuyt naye amekuwaje tena???
 
Pamoja na ukongwe wote wa Carragher, amekuwa mzigo kwa timu! Amemwachiaje rvp kufunga pale?? Ovyo kabisa.. 1-1
 
Kufikia mwisho wa msimu huu sijui Liver itakuwa imegonga mwamba mara ngapi... Leo hadi halftime mwamba umewaokoa arsenal mara mbili....
 
Soft goal kabisa...BTW Liverpool need to take full advantage of their scoring chances.
True mkuu, Liver imecheza mpira wa hali ya juu sana hizi dkk 45 za kwanza, lakini pia kipa wa arsenal anastahili credit ameiokoa sana timu yake...
 
Back
Top Bottom