Downing alichukua Man Of The Match...Sio siri toka asajiriwe jana ndo kaonyesha uhaiPazi said:Man of the Match
Wangu alikuwa Skertel ila Downing leo kajitahidi japo
hatukucheza vizuri
Hongereni kwa kupata kombe.
Kuna katimu kamoja,sasa ni mwaka wa 7 kanaruka ruka tu bila hata Carling Cup!
Achana na mtu wa majungu... as if safari yote toka Exeter, Brighton, Stike, Chelsea, Man City na fainali huyo Gerrard ndie alikuwa anatoa zawadi. Maneno ya mkosaji tuMbona kaka mwenyewe kakosa peneti yake? Au na yeye alikuwa anampa zawadi nani?
Sijawahi kuona kikosi cha Liverpool kinachokosa penalty kama hiki!!! Kuyt naye amekuwaje tena???
Sijawahi kuona kikosi cha Liverpool kinachokosa penalty kama hiki!!! Kuyt naye amekuwaje tena???
Pamoja na ukongwe wote wa Carragher, amekuwa mzigo kwa timu! Amemwachiaje rvp kufunga pale?? Ovyo kabisa.. 1-1
True mkuu, Liver imecheza mpira wa hali ya juu sana hizi dkk 45 za kwanza, lakini pia kipa wa arsenal anastahili credit ameiokoa sana timu yake...Soft goal kabisa...BTW Liverpool need to take full advantage of their scoring chances.