Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Arsenal wana Mmalizaji sie tunaye ila hatuna mtu wakumlisha vizuri ndio tatizo Game LFC wameicheza wao ila wamefungwa, Downing ni mguu wa kushoto tu ingependeza wangemuweka ubavu wa kulia kuingia mguu wake wa kushoto na kujaribu ku shoot mpira, Bellamy kacheleweshwa ukiwa na Ma winger wazuri Striker anazidi kuwa mkali, Arsenal Better Player alikuwa Kipa wao Van Parsie na Mwamba wa Golini kwao. Tusahau nafasi ya 4 ila tusikate tamaa.
 
Liverpool do not have the creativity or good enough players to be a Top four side, today proves it.
 
poleni wakuu tulihitaji sana hizi point tatu ...
 
Asante mkuu, vijana wameremba weee, ikala kwetu!
BTW Hongereni sana, naona mmeua mtu huko.

ndio hivyo maana siku zijazo naanza na chelski nakuja na manure kwa hiyo nisipo fanya vizuri na hivi vidogo ntakua kwenye wakati mgumu sana..
 
eeehh...ma-racist lazima mpigwe bao tu......safi sana Sunderland.......
 
Wakuu mmejichimbia wapi??? Leo tumechapwa tena, naona timu iko mbendembende kama nyie...
Msikonde wakuu, somewhere somehow tutafufuka...YNWA.
 
eeehh...ma-racist lazima mpigwe bao tu......safi sana Sunderland.......
Wewe bila shaka utakuwa unatokea kule kwa mashoga! Unajua maana ya hilo neno 'racist' au umekaririshwa unakimbizana nalo kama chizi???
 
Yaliyomkuta kibeku na ungo yamemkuta.Poleni sana mashabiki wa Liverpool.There is always next time.
 
Wakuu, hamjui kama leo tuko uwanjani? Yaani nimekuja kasi hapa nikijua nitapata kinachoendelea!
 
Najua leo mtashinda nyie dawa yenu vibonde
 
Wakuu, hamjui kama leo tuko uwanjani? Yaani nimekuja kasi hapa nikijua nitapata kinachoendelea!

Ndio nimejaribu kuwahi popote nilipokuwa na nikaiseach channel na nikakuta nahodha wa Gerrald dk 34 akiwanyanyua washabiki wa club wote waliokuwa wamefurika uwanjani kama kawa.

HT,L'pool Fc 1 Everton 0.

Game taf sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…