Wewe bwana mchokozi sana. Leo si tumecheza Young Boys na tumewapiga 5-3 kwenye Europa? halafu kutuweka kundi moja na Man City kwenye UCL wakati unajua hakuna timu ya kiwango chetu kwenye EPL ni injustice iliyopitiliza. Sisi ni baada ya Real Madrid na AC Milan bwana hilo hamuwezi kulifuta milele. Man City level yao Arsenal na Spurs, Chelsea level yao kwa mbali labda Man Utd!:biggrin1: hawa champions league tumeshawafuta..hata wakirudigi watakua kwenye pot sawa na man city....hata kaji uefa cup hampo? daaah!!!
Wewe bwana mchokozi sana. Leo si tumecheza Young Boys na tumewapiga 5-3 kwenye Europa? halafu kutuweka kundi moja na Man City kwenye UCL wakati unajua hakuna timu ya kiwango chetu kwenye EPL ni injustice iliyopitiliza. Sisi ni baada ya Real Madrid na AC Milan bwana hilo hamuwezi kulifuta milele. Man City level yao Arsenal na Spurs, Chelsea level yao kwa mbali labda Man Utd!
:biggrin1: eti mmecheza na young boys...what happened to those days of liverpool vs madrid liverpool vs ac milan saivi eti liverpool vs young boys...yaani maana yake mnacheza na 'young boys' watoto wadogo wa europe..watu wazima mmewashindwa...kwa hiyo man city ndio the new liverpool wamechukua nafasi yenu ya nne kwenye top 4 ya england
Mkuu salama?! Huyo jamaa hawezi kukuelewa kbs! Hata hayo mashindano anayosema hatumo ni mashindano yasiyokuwepo! Sasa muulize yeye kayatoa wapi utashangaa...Wewe bwana mchokozi sana. Leo si tumecheza Young Boys na tumewapiga 5-3 kwenye Europa? halafu kutuweka kundi moja na Man City kwenye UCL wakati unajua hakuna timu ya kiwango chetu kwenye EPL ni injustice iliyopitiliza. Sisi ni baada ya Real Madrid na AC Milan bwana hilo hamuwezi kulifuta milele. Man City level yao Arsenal na Spurs, Chelsea level yao kwa mbali labda Man Utd!
Wewe kwa uelewa huu, inafaa mwalimu aliyekufundisha hadi ukajua kuandika atafutwe apewe tuzo! Hivi mlipokutana na Bilbao mlikuwa na hao akina Madrid na Milan?!?! Na kuhusu hao unaowaita watoto wadogo unaweza kuweka hapa wastani wa umri wao? Kwa uongo huu ni halali nyie kujisifia eti ni 'mashetani wekundu'. Maana yeye ndiye muongo na baba wa huo.:biggrin1: eti mmecheza na young boys...what happened to those days of liverpool vs madrid liverpool vs ac milan saivi eti liverpool vs young boys...yaani maana yake mnacheza na 'young boys' watoto wadogo wa europe..watu wazima mmewashindwa...kwa hiyo man city ndio the new liverpool wamechukua nafasi yenu ya nne kwenye top 4 ya england
When two men marry each other they become "Man United" a.k.a Scum. Anakurupuka sana huyu jamaa, sijui alianza lini kushabikia mpira? Huyu hata ukimuuliza Eric Cantona hamjui!Wewe kwa uelewa huu, inafaa mwalimu aliyekufundisha hadi ukajua kuandika atafutwe apewe tuzo! Hivi mlipokutana na Bilbao mlikuwa na hao akina Madrid na Milan?!?! Na kuhusu hao unaowaita watoto wadogo unaweza kuweka hapa wastani wa umri wao? Kwa uongo huu ni halali nyie kujisifia eti ni 'mashetani wekundu'. Maana yeye ndiye muongo na baba wa huo.
And what happened to those days, Man Utd vs Bayen Munich, Man Utd vs Barcelona msimu uliopita mlikutana na wale madogo wa Uswisi wakiwa na jezi za Barca wakatoa kamati pale OT. Mlipohamia Europa huku ambako sisi ndio wababe wenu sawa na UCL mkatupwa kwa Atletic Bilbao... Unajifanya umesahau mlichokipata wewe na jirani yako?:biggrin1: eti mmecheza na young boys...what happened to those days of liverpool vs madrid liverpool vs ac milan saivi eti liverpool vs young boys...yaani maana yake mnacheza na 'young boys' watoto wadogo wa europe..watu wazima mmewashindwa...kwa hiyo man city ndio the new liverpool wamechukua nafasi yenu ya nne kwenye top 4 ya england
And what happened to those days, Man Utd vs Bayen Munich, Man Utd vs Barcelona msimu uliopita mlikutana na wale madogo wa Uswisi wakiwa na jezi za Barca wakatoa kamati pale OT. Mlipohamia Europa huku ambako sisi ndio wababe wenu sawa na UCL mkatupwa kwa Atletic Bilbao... Unajifanya umesahau mlichokipata wewe na jirani yako?
Hehehe we kijana tukana mamba mto hujavuka jumapili watakuchapa hawa