Wewe bwana mchokozi sana. Leo si tumecheza Young Boys na tumewapiga 5-3 kwenye Europa? halafu kutuweka kundi moja na Man City kwenye UCL wakati unajua hakuna timu ya kiwango chetu kwenye EPL ni injustice iliyopitiliza. Sisi ni baada ya Real Madrid na AC Milan bwana hilo hamuwezi kulifuta milele. Man City level yao Arsenal na Spurs, Chelsea level yao kwa mbali labda Man Utd!:biggrin1: hawa champions league tumeshawafuta..hata wakirudigi watakua kwenye pot sawa na man city....hata kaji uefa cup hampo? daaah!!!