Ni muda wa Officials kutokuwepo chama kimoja na FA, FA wanataka uwaseme ma Refa then mnapigwa charge za nguvu ni muda Marefa kutokupewa muda wa kufikiria nao kuulizwa maswali na kupigwa Fine kubwa tu mshika kibendera aliweka kibendera chini kwa muda wa sekunde hata 21 za Suarez anashangilia ndio akanyanyua si Ufisadi tu wa chuki kwa mtu binafsi angefunga SG Refa angekataa basi mshika kibendera angelikubali. Everton wamecheza vizuri ila ni bad draw kwa LFC ukitegemea kuongoza 2-0 na kukataliwa goal vile muda wanaowapa washika vibendera wa kurudi kutizama TV unawapa usemi wa kutafuta sababu zengine za wao kujitetea wakiwemo na FA. SAHIN asingetolewa wangemsukuma SG mbele au wangemuingiza Assaidi, Raheem game kama Evrton haiwezi watamvunja. Sema pia bado sijaelewa Suaarez anavyokuwa anakata watu miguu au anajiangusha anawapa sababu Media,timu baazi ya watu kuruka mada kumrushia yeye anatakiwa ajitahidi kubadilika sio Streets football hii.