Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Andereicht 1-3 Milan...
*El shaarawy
*Mexes
*pato.
Milan are through... NB
Goli alilofunga beki wa Milan Philip Mexes kama
angelifunga Messi basi tungeambiwa Champions
League imekwisha na Barca ni mabingwa so
tusubiri michuano ya nxt season... Forza Milan.
wewe ndie Honey wangu ambaye watu
wananieleza mabaya yako weeeh lakini naishia
kuwajibu ''yatawashinda''.
Mimi na wewe mpaka ntakapotangulia
kusikojulikana. Nakupenda sana Darling, amini hilo.
 
Game ya liverpool na young boys imeanza, young boys walianza kwa kasi ya ajabu ndani ya sekunde akataka kufunga,
 
Andereicht 1-3 Milan...
*El shaarawy
*Mexes
*pato.
Milan are through... NB
Goli alilofunga beki wa Milan Philip Mexes kama
angelifunga Messi basi tungeambiwa Champions
League imekwisha na Barca ni mabingwa so
tusubiri michuano ya nxt season... Forza Milan.
wewe ndie Honey wangu ambaye watu
wananieleza mabaya yako weeeh lakini naishia
kuwajibu ''yatawashinda''.
Mimi na wewe mpaka ntakapotangulia
kusikojulikana. Nakupenda sana Darling, amini hilo.
ripoti baba,hadi magazeti yao ya the sun,sijui sky news bbc warindime habari hii,hawajui huko turati station kila kona wanazungumzia bao la mexes jana,au san siro,kumekucha mashujaa mnyama mkubwa ni gumzo!
 
Hah hah haah Guti ukinitajiaga habari za mashujaa huwa unanipasua mbavu sana.
Abuja, Abajalo Ngilimaa, abajalo mnyama mkubwa...dah
 
Ma Real Reds Fan wa LFC mpo wapi mie kila nikiandika humu na kasimu changu naona inanitoa sijui why? Msikimbie kuwa kama ma plastic Fan wa timu za London Rogers sio kama Kenny na Roy walioleta vilema kwa pesa nyingi tuna madogo na wakali watakuja vuteni subira ana miaka miwili ya kuweka sawa tizama wenger alivyofanya ni wachezaji tu ndio walimgeuka Rogers ajitahidi na madogo Furaha yangu January Downing na Carrol wapelekwe kwao hata bure, Kenny aliuza Paul Ince alichemsha uzuri timu ya under 21 kuna madogo wakali kibao. Tusifikirie mapema nafasi ya 4 na maubingwa kwa sasa kuweka sawa tu mfano Juventus wapi walikuwa?. Kila timu ipo siku yake tukifuatisha Media na Social Media wao sio Ma Manager watimu ndio wanaoharibu mipira nakuona ma Manager wanafukuzwa siku hizi.
 
Ukiona tu Downing na Hendo wanaanza ujue basi hakuna kitu hapo Downing bora kumpanga Assaidi tu sipendi hata kumuona akicheza mpira Downing.
 
Ukiona tu Downing na Hendo wanaanza ujue basi hakuna kitu hapo Downing bora kumpanga Assaidi tu sipendi hata kumuona akicheza mpira Downing.

Downing leo anakuwa Man of the Match.
 
Downing leo anakuwa Man of the Match.

Heheeheh kutolewa Hendo tu na Downing ndio mpira tulianza kushambulia toooooo late sijui wanapangwa ili January timu ziwakumbuke wapo? tusipoangalia tutakuwa Nottingham Forest. ila bado namuaminia Brendan Roger.
 
Njooni mmchukue Spanish waiter wenu, anatuharibia timu sana.
 
Timu bovu. I'm so ashamed to be a Liverpool fan nowadays. It's a disgrace to the fans
 
Timu bovu. I'm so ashamed to be a Liverpool fan nowadays. It's a disgrace to the fans

So do I. Ni wenye mioyo migumu kama sisi tuliobakia Liverpool bila aibu. Wenye mioyo laini wamegawana timu nyingine huku mioyo yao ikiwauma.

Liverpool sasa tumekuwa Liverfools wa uhakika. Inauma sana aisee!
 
A few years ago we used to beat anybody in continental Europe. Nobody wanted to come to Anfield. No one could stand our way from the likes of Barcelona to Real Madrid, from AC Milan to Juventus leo hii hata Totenham anatufunga. Owners wenyewe ndio hao kama wa Arsenal, toka lini mmarekani akajua kuendesha soccer club? hii sio NFL wala baseball. Aibu gani hii. Hii ndio imetoka tena, imebaki kushuka daraja tu ndio watatia adabu
 
So do I. Ni wenye mioyo migumu kama sisi tuliobakia Liverpool bila aibu. Wenye mioyo laini wamegawana timu nyingine huku mioyo yao ikiwauma.

Liverpool sasa tumekuwa Liverfools wa uhakika. Inauma sana aisee!

Mnazidiwa hadi na asenali...

Hivi bado ni YNWA ama ni YNSA (s=sleep) siku hizi...
 
Kila nikiangalia huu.uzi.moyo Napata.moyo.wa.huruma.... Hehe
 
So do I. Ni wenye mioyo migumu kama sisi tuliobakia Liverpool bila aibu. Wenye mioyo laini wamegawana timu nyingine huku mioyo yao ikiwauma.

Liverpool sasa tumekuwa Liverfools wa uhakika. Inauma sana aisee!

yah inauma mzee Asprin hata sie wa Arsenal
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom