katuposha kweli leo..bora angeanza na Henderson..Poleni sana huyu Joe Allen hastahili kabisa kuchezea Liverpool
NI kweli mkuu sasa at least tumeanza kucheza.Mwakani tutarudi uefa championship inawezekanaLiverpool 5 Norwich 0..
good form, kidogo kidogo project hii itawork, nategemea mwaka kesho ndo tutakuwa noma zaidi.
NI kweli mkuu sasa at least tumeanza kucheza.Mwakani tutarudi uefa championship inawezekana
i think liverpool watamaliza wakiwa namba 7 this year
Sante ndetichia! Naona na nyie mlijinoma jana!hongereni hizo tano sio mchezo..
Liverpool hufungwa within 5 minutes just after halftime
Mkuu, ktk mpira hakuna kisichowezekana, ila defence ya Liverpool inavuja balaa...naona wamemsajili Coutinho, beki yetu wanaridhika nayo!!! YNWA.punainen-red
Kiula
Full Moon
Asprin
Kwa kweli nakiri ya kwamba hali ya Club kongwe kama hii yetu hakika iko ktk wakati mgumu ila nategemea kwa mtazamo wangu tunaweza tukapanda mpaka top four!
Wakuu tajwa hapo juu ninyi mwaonaje wazo langu?