Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Before Suarez's admission, Rodgers had previously defended the striker over the matter, saying "vilification of Luis is both wrong and unfair".
But on Wednesday, Suarez said: "I was accused of falling inside the box in a match, and it's true I did it that time, because we were drawing against Stoke at home and we needed anything to win it.
"But after that everybody jumped out to talk - the Stoke coach and the Everton coach [David Moyes] - but the name Suarez sells [papers]." BBC
 
Kuna rumors leo kwenye the sun kwamba Wes Sneijder anafikiria kukubali a huge pay cut ili aende club anayotaka na Liverpool ni favorites kumsainisha huyu dutch master. Atasaidia sana kurudisha makali ya Liverpool kama watafanikiwa
 
Liverpool 5 Norwich 0..

good form, kidogo kidogo project hii itawork, nategemea mwaka kesho ndo tutakuwa noma zaidi.
 
NI kweli mkuu sasa at least tumeanza kucheza.Mwakani tutarudi uefa championship inawezekana

kabisa ndugu, yaani tatizo yalikuwa magoli, pass safi, defence so safi..tatizo lilikuwa mbele tu, naona Sturridge atasolve hiyo issue, kwengine me naona tusolve ni Steven Gerrad, naona anazeeka na yupo inconsistent..tunahitaji replacement fasta fasta.
 
Kama wachezaji wetu muhimu wataepuka majeruhi, tutaendelea kuimarika zaidi, kumbuka Lucas, Sturridge, Borini wote wametoka majeruhi na bado hawako kamili. Sijui Coates kakumbwa na nini maana nasikia wanawaza kumtoa kwa mkopo,mwanzoni dogo alikuwa anatia matumaini kweli.
 
Wazee wa liverpool mbona kimya mko wapi?

SIDHANI KAMA NI KOSA KUULIZA NAONA WATOTO WA OLDHAM WANAWAONYESHA EXIT DOOR TARATIBU
 
Leo usiku arsenal vs Liverpool. Mungu ibariki Liverpool iweze kushinda
 
punainen-red
Kiula
Full Moon
Asprin

Kwa kweli nakiri ya kwamba hali ya Club kongwe kama hii yetu hakika iko ktk wakati mgumu ila nategemea kwa mtazamo wangu tunaweza tukapanda mpaka top four!

Wakuu tajwa hapo juu ninyi mwaonaje wazo langu?
 
Last edited by a moderator:
Dk 35 mpk sasa Arsenal 0 LiverpoolFC 1

Bao la L'pool Fc lilifungwa na Suarez dk ya 5

Tusubirie dk 90 ndiyo msema kweli!
Game ni tafu sana!
 
2-2..fcuk our defence man..this was a win and a great moral booster and we blew it.
 
punainen-red
Kiula
Full Moon
Asprin

Kwa kweli nakiri ya kwamba hali ya Club kongwe kama hii yetu hakika iko ktk wakati mgumu ila nategemea kwa mtazamo wangu tunaweza tukapanda mpaka top four!

Wakuu tajwa hapo juu ninyi mwaonaje wazo langu?
Mkuu, ktk mpira hakuna kisichowezekana, ila defence ya Liverpool inavuja balaa...naona wamemsajili Coutinho, beki yetu wanaridhika nayo!!! YNWA.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom