Wewe mchokozi kweli! Draw mmetuambukiza nyie!hongereni kwa kudraw..
Nadhani anayestahili hongera ya draw ni Arsenal.hongereni kwa kudraw..
Uzuri ni kwamba hatutembei peke yetu. Katika tembe yetu Mungu yuko nasi. Inshallah dua zetu atazisikia.punainen-red
Kiula
Full Moon
Asprin
Kwa kweli nakiri ya kwamba hali ya Club kongwe kama hii yetu hakika iko ktk wakati mgumu ila nategemea kwa mtazamo wangu tunaweza tukapanda mpaka top four!
Wakuu tajwa hapo juu ninyi mwaonaje wazo langu?
Uzuri ni kwamba hatutembei peke yetu. Katika tembe yetu Mungu yuko nasi. Inshallah dua zetu atazisikia.
Kulishabikia hili chama kipindi hiki inahitaji uwe na moyo mgumu kama jiwe la mtoni. Lakini ni swala la muda tu, tutarudi kwenye enzi zetu zileeeee...
Uzuri ni kwamba hatutembei peke yetu. Katika tembe yetu Mungu yuko nasi. Inshallah dua zetu atazisikia.
Kulishabikia hili chama kipindi hiki inahitaji uwe na moyo mgumu kama jiwe la mtoni. Lakini ni swala la muda tu, tutarudi kwenye enzi zetu zileeeee...
Gerald ni habari nyingine kabisa, ni kweli umri umeenda lakini bado jamaa ni muhimu kinoma. Kumbuka pia kwa sasa namna timu inavyocheza ni tofauti na kipindi cha Benitez.eti ndugu, mnadhani Coutinho anaweza mrithi Gerrad?
mimi naona kama Gerrad ameanza kuchoka choka hivi..kama anahitaji kuanzwa kupumzishwa vile?
yeah kweli kabisa..Coutinho ndo kwanza ana miaka 22..kwahiyo huyu wa future kabisa..Gerald ni habari nyingine kabisa, ni kweli umri umeenda lakini bado jamaa ni muhimu kinoma. Kumbuka pia kwa sasa namna timu inavyocheza ni tofauti na kipindi cha Benitez.
Reina fcuked us up so bad..alikuwa anafanya nini jamani!!? aaha peleka benchi
Kweli, ila hatuwezi kukwepa ungese wa reina leoNilisema sitorudi hapa kuweka msg mpaka kama kweli LFC ikirudi nafasi ya NNE(4th) ila uvumilivu umenishinda hasa kuchungulia na kuona Comment ya Pepe akae Bench Reina akikaa Bench ndio tujitaarisha kupigwa nyingi na mtu kama Jones sio Kipa yule bora nidake mie Japo kweli Pepe anachemsha sana za kuumiza. LFC tatizo sio mabeki au vijikosa vya kipa Tatizo ilikuwa Striker Sasa tunao tatizo kubwa lipo Middle anayepiga kwanja na mwenye nguvu kama Yaya toure au Mousa Sissoko vile ili Joe Allen awe anachezesha pasi bila wasiwasi wa kufikiria kukaba na SG aanze kupumzika ukiwa na mtu kama Yaya Toure au Mousa Sissoko jua hata Beki zinafurahi. Coutinho sio Hard middle yule ni skillful wa nyuma ya striker au left wing.
Kweli, ila hatuwezi kukwepa ungese wa reina leo
alionyesha hamuamini skertel
Nilisema sitorudi hapa kuweka msg mpaka kama kweli LFC ikirudi nafasi ya NNE(4th) ila uvumilivu umenishinda hasa kuchungulia na kuona Comment ya Pepe akae Bench Reina akikaa Bench ndio tujitaarisha kupigwa nyingi na mtu kama Jones sio Kipa yule bora nidake mie Japo kweli Pepe anachemsha sana za kuumiza. LFC tatizo sio mabeki au vijikosa vya kipa Tatizo ilikuwa Striker Sasa tunao tatizo kubwa lipo Middle anayepiga kwanja na mwenye nguvu kama Yaya toure au Mousa Sissoko vile ili Joe Allen awe anachezesha pasi bila wasiwasi wa kufikiria kukaba na SG aanze kupumzika ukiwa na mtu kama Yaya Toure au Mousa Sissoko jua hata Beki zinafurahi. Coutinho sio Hard middle yule ni skillful wa nyuma ya striker au left wing.