Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

punainen-red
Kiula
Full Moon
Asprin

Kwa kweli nakiri ya kwamba hali ya Club kongwe kama hii yetu hakika iko ktk wakati mgumu ila nategemea kwa mtazamo wangu tunaweza tukapanda mpaka top four!

Wakuu tajwa hapo juu ninyi mwaonaje wazo langu?
Uzuri ni kwamba hatutembei peke yetu. Katika tembe yetu Mungu yuko nasi. Inshallah dua zetu atazisikia.

Kulishabikia hili chama kipindi hiki inahitaji uwe na moyo mgumu kama jiwe la mtoni. Lakini ni swala la muda tu, tutarudi kwenye enzi zetu zileeeee...
 
Kumbe nawe ni mzee wa anfield!!YNWA
 
Uzuri ni kwamba hatutembei peke yetu. Katika tembe yetu Mungu yuko nasi. Inshallah dua zetu atazisikia.

Kulishabikia hili chama kipindi hiki inahitaji uwe na moyo mgumu kama jiwe la mtoni. Lakini ni swala la muda tu, tutarudi kwenye enzi zetu zileeeee...

Nikiangalia classics za Liverpool machozi yananitoka. Kila timu tulikuwa tunazipa dozi iwe hapo England ama Europe nzima. Laana ya Heyssel hiyo!
 
eti ndugu, mnadhani Coutinho anaweza mrithi Gerrad?

mimi naona kama Gerrad ameanza kuchoka choka hivi..kama anahitaji kuanzwa kupumzishwa vile?
 
Gerald ni habari nyingine kabisa, ni kweli umri umeenda lakini bado jamaa ni muhimu kinoma. Kumbuka pia kwa sasa namna timu inavyocheza ni tofauti na kipindi cha Benitez.
 
yeah kweli kabisa..Coutinho ndo kwanza ana miaka 22..kwahiyo huyu wa future kabisa..

kesho inabidi tushinde ili tuonyeshe kuwa tume progress kabisa.
 
Hongereni wakuu tunaona vitu vyenu noisy neighbour wameponea chupu chupu ..... .... ..... .....

BTW tupo kwenye matanga 40 hazijaisha (Kipigo cha Chelsick) kwa hiyo all pics zinabaniwa na Invisible, Mungiki Brother et al Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Dah, yaani siku hizi Liverpool kuhimili vishindo ikiwa inaongoza ni ngumu sana! Lazima atokee mzembe mmoja aharibu sherehe.... aaagghhrrrrrr.
 
Reina fcuked us up so bad..alikuwa anafanya nini jamani!!? aaha peleka benchi
 
Nilisema sitorudi hapa kuweka msg mpaka kama kweli LFC ikirudi nafasi ya NNE(4th) ila uvumilivu umenishinda hasa kuchungulia na kuona Comment ya Pepe akae Bench Reina akikaa Bench ndio tujitaarisha kupigwa nyingi na mtu kama Jones sio Kipa yule bora nidake mie Japo kweli Pepe anachemsha sana za kuumiza. LFC tatizo sio mabeki au vijikosa vya kipa Tatizo ilikuwa Striker Sasa tunao tatizo kubwa lipo Middle anayepiga kwanja na mwenye nguvu kama Yaya toure au Mousa Sissoko vile ili Joe Allen awe anachezesha pasi bila wasiwasi wa kufikiria kukaba na SG aanze kupumzika ukiwa na mtu kama Yaya Toure au Mousa Sissoko jua hata Beki zinafurahi. Coutinho sio Hard middle yule ni skillful wa nyuma ya striker au left wing.
 
Dah mi naona tusihukumu sana,2angalie 2metoka wapi na tupo wapi,atleast kdgo 2naimprove ukijaribu kuangalia,tunaweza kuwin back to back matches sa hvi kilchobki ni kucomvrt hzo draws into wins basi point 3 ni muhmu kwa kila mech ni muhmu hasa hzi game mbli znazo fuata za hme.YNWA.
 
Nilisema sitorudi hapa kuweka msg mpaka kama kweli LFC ikirudi nafasi ya NNE(4th) ila uvumilivu umenishinda hasa kuchungulia na kuona Comment ya Pepe akae Bench Reina akikaa Bench ndio tujitaarisha kupigwa nyingi na mtu kama Jones sio Kipa yule bora nidake mie Japo kweli Pepe anachemsha sana za kuumiza. LFC tatizo sio mabeki au vijikosa vya kipa Tatizo ilikuwa Striker Sasa tunao tatizo kubwa lipo Middle anayepiga kwanja na mwenye nguvu kama Yaya toure au Mousa Sissoko vile ili Joe Allen awe anachezesha pasi bila wasiwasi wa kufikiria kukaba na SG aanze kupumzika ukiwa na mtu kama Yaya Toure au Mousa Sissoko jua hata Beki zinafurahi. Coutinho sio Hard middle yule ni skillful wa nyuma ya striker au left wing.
Kweli, ila hatuwezi kukwepa ungese wa reina leo

alionyesha hamuamini skertel
 
mlaumu skertel aliezidiwa na striker hatari sana wa city kun na kikubwa wangetumia nguvu mastriker wetu tungewafunga ila huyu sturridge ni yupo next level ila waliopata kuchezea city lazima watufunge..

Kwa sasa mko juu.. hongereni
 
Nilisema sitorudi hapa kuweka msg mpaka kama kweli LFC ikirudi nafasi ya NNE(4th) ila uvumilivu umenishinda hasa kuchungulia na kuona Comment ya Pepe akae Bench Reina akikaa Bench ndio tujitaarisha kupigwa nyingi na mtu kama Jones sio Kipa yule bora nidake mie Japo kweli Pepe anachemsha sana za kuumiza. LFC tatizo sio mabeki au vijikosa vya kipa Tatizo ilikuwa Striker Sasa tunao tatizo kubwa lipo Middle anayepiga kwanja na mwenye nguvu kama Yaya toure au Mousa Sissoko vile ili Joe Allen awe anachezesha pasi bila wasiwasi wa kufikiria kukaba na SG aanze kupumzika ukiwa na mtu kama Yaya Toure au Mousa Sissoko jua hata Beki zinafurahi. Coutinho sio Hard middle yule ni skillful wa nyuma ya striker au left wing.

Hiyo kazi ya Lucas Leiva. Alikuwa ametoka kwenye long spell za injury..he will be good.

Si mara ya kwanza Reina kufanya makosa..hata ile mechi ya Arsenal..kipa bora anasave ile shot ya walcott.
 
Back
Top Bottom