Nilisema sitorudi hapa kuweka msg mpaka kama kweli LFC ikirudi nafasi ya NNE(4th) ila uvumilivu umenishinda hasa kuchungulia na kuona Comment ya Pepe akae Bench Reina akikaa Bench ndio tujitaarisha kupigwa nyingi na mtu kama Jones sio Kipa yule bora nidake mie Japo kweli Pepe anachemsha sana za kuumiza. LFC tatizo sio mabeki au vijikosa vya kipa Tatizo ilikuwa Striker Sasa tunao tatizo kubwa lipo Middle anayepiga kwanja na mwenye nguvu kama Yaya toure au Mousa Sissoko vile ili Joe Allen awe anachezesha pasi bila wasiwasi wa kufikiria kukaba na SG aanze kupumzika ukiwa na mtu kama Yaya Toure au Mousa Sissoko jua hata Beki zinafurahi. Coutinho sio Hard middle yule ni skillful wa nyuma ya striker au left wing.