Defoe si ndio Muingereza mwenyewe! FA inawalinda sana wachezaji wa Kiingereza. Mtu kama Joe Barton pamoja na fujo zote walikuwa hawamfanyi kitu hafi hii mara ya mwisho walipomfungia, au kwa kesi ya John Terry na Suarez zilikuwa na tofauti gani? ila angalia adhabu zilikuwa tofauti kabisa!
Mshabk wa kutupwa wa liverpool !wewe ulitaka adhabu gan?kuna mchezaj aliyewahi ng'ata pale england na alipewa adhabu gan?tucweke ushabk kwa kila jambo!!
Mshabk wa kutupwa wa liverpool !wewe ulitaka adhabu gan?kuna mchezaj aliyewahi ng'ata pale england na alipewa adhabu gan?tucweke ushabk kwa kila jambo!!
Barton alifungiwa game 12,RIO alifungiwa miezi 8 kwa kukosa kupima drug test.Kumbuka Suarez alishamng'ata mchezaji mwenzake huko AJAX na alifungiwa mechi 7,cha msingi ni klabu kumsaidia SUAREZ kwani anaonekana ana matatizo
Hii ni nini?! Unajua adhabu aliyopewa? !
[/QUOTE]
KADI YA NJANO
Mshabk wa kutupwa wa liverpool !wewe ulitaka adhabu gan?kuna mchezaj aliyewahi ng'ata pale england na alipewa adhabu gan?tucweke ushabk kwa kila jambo!![/QUOTE
Kuna watu wameanza kushabikia mpira juzi tu? Defoe hakumng'ata Mascherano? Alipewa adhabu gani?
mashabiki maandazi
bila suarez liverpool ni kali zaidi?newcastle 0-6 liverpool
Najaribu kufollow sjakuelewa.Kama msemo wa Rafa kasema She Alex sifa za kubeba Britain tu wanakompendelea Marefa nje ya Euro hakuna kitu huyu ndio King wao Britain wa Euro! Bob Paisley! Mr 3 Times hakuna aliebeba hivi.