VUVUZELA
JF-Expert Member
- Jun 19, 2010
- 3,103
- 798
mkuu hii ni timu ya makumbusho tutaipeleka Museums.
Ukisema hivyo Arseanal nayo utaiweka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hii ni timu ya makumbusho tutaipeleka Museums.
Sherif Arpaio waambie vijana. wanamfahamu Macllister hao?
Mpofuka ukongweni hapotewi na njia.
Ukisema hivyo Arseanal nayo utaiweka wapi?
suarez acpo sepa nafac ya 3 or 4 n ya kwetu.
Mkuu timu ya makumbusho ni liverpool huwezi fananisha na Arsenal hata kidogo.
Na kwanini matumaini ya timu yawe kwa individual player?We have to build a strong team.Aliondoka Van Persie lakini Arsenal imeendelea kuwa ileile,timu isiyokosa UEFA Championship.
Lini mlishinda uefa champions league?
Hiyo Historia unayotaka kuileta ndio maana nasema hiyo timu imebaki kuwa makumbusho.
suarez acpo sepa nafac ya 3 or 4 n ya kwetu.
Na kwanini matumaini ya timu yawe kwa individual player?We have to build a strong team.Aliondoka Van Persie lakini Arsenal imeendelea kuwa ileile,timu isiyokosa UEFA Championship.
Mkuu Viper mie na ww kwenye Juventus pamoja tehteh, Habari poa tu siunajua ule msemo ligi haijaanza ikivunjika Arsenal Bingwa sababu ya A basi ikivunjika sasa hivi LFC bingwa Lol! Ila LFC nimetizama bado sana tena sana SG anasababisha Middle zenye nguvu wasiletwe lazima uwe na Middle zina Bully players ndomana naamini Arsenal wakiweza kupata felaini na Suarez basi wanauwezo wa ubingwa ndomana LFC hawamuuzi Suarez kwao ila LFC tutajuta kubaki na Suarez.
Pamoja na kushinda bado timu hii ni mbovu. Huyu Rogers hafai kuwa kocha
Habari zenyuuuu baaaana
​We huoni timu mbovu, arsenal, imezabwa goli 3?!