Natanguliza salam zangu kwenu wana liverpool wote,!Napenda kuchukua fulsa hii kuipongeza club yangu hii kongwe kwa kufanya usajili mapema kabisa na coach brendan rodgers naamin anajazia sehemu zenye mapungufu.Wana liverpool wote tunafaham kabisa amepewa budget finyu mno so lzm achukue wachezaji kwa bei nafuu kias na ninaamin anasajili wale ambao anajua watafit ktk mfumo wake.ONGERA ZANGU KUBWA NI KWA SCOUTING TEAM NAO THEY'VE DONE A GREAT JOB..KOLO TOURE ANAZIBA PENGO LA OUR LEGEND J CARREGHER,LUIS ALBERTO(SK),IAGO ASPAS(SK) NA SIMON MIGNOLET(GK).!!!YOU'LL NEVER WALK ALONE FOR LIFE!!