Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool mbele tupo vizuri mno, kombination ua suarez, struge na moses imestulia kinoma.
Hongera kwa ushindi mnono
 
Chezea Suarez! Sunderland 1-3 Liverpool, point tatu muhimu. Utamu zaidi ni kuwa Sturridge na Suarez wameonyesha kuelewana vema...
 
Timu ya wanawake ya liverpoolfc imechukuwa using wa kwa kufunda Bristol 2-0 baada ya miaka kibao Arsenal wanawake kubeba ubingwa wa miaka zaidi ya 10.
 
Dah hizi keyboard inaniuzi ni ubingwa na type imesema using... Yote raha ya ushindi wa 3-1.
 
With Coutinho in the team, and a new number 8 to take pressure of Gerro, tutakua wazuri sana

kwenye defense sasa nadhani we can compete with any great defence in europe, Sakho is coming up great, Agger is proven, the donkey (skertel) is spectacular and Kolo ni kolo kama kawa

Lucas labda nae anahitaji cover,
 
henderson is a bad player, not serious, not committed, not defensive, not motivated

just a lucky Englishman in a team

Anajali nywele zake kuliko mpira ka issue ni Uingereza wake Gareth Barry wa Man city angefaa sana au James Milner
 
Haaaahaaaaaa! Pazi bana... Kuna mmoja nasikia camera zake ziliungua siku ile ya kibano cha Etihad...lol.
 
henderson is a bad player, not serious, not committed, not defensive, not motivated

just a lucky Englishman in a team

Eti ndio anamweka bench Alberto! Huyu Rogers ana wazimu. We need Rafa back
 
Eti ndio anamweka bench Alberto! Huyu Rogers ana wazimu. We need Rafa back

we dont need Rafa back... Rafa is like Mourinho

tey are both like mosquitos

cry baby when they are supposed to stand up and be counted

afterall liverpool is poorer and weaker to afford such a manager

Liverpool needs Brendan Rodgers
 
Liverpool needs Rafa. This guy is a true Koppite.
 
Mkuu VUVUZELA, Rodgers anatufaa tuwe wavumilivu tu. Halafu hata hivyo Benitez anapeta huko Italia.
 
we dont need Rafa back... Rafa is like Mourinho

tey are both like mosquitos

cry baby when they are supposed to stand up and be counted

afterall liverpool is poorer and weaker to afford such a manager

Liverpool needs Brendan Rodgers

I second you mkuu!
By the year 2023 huyu BR atakuwa 'moto' wa kuotea mbali na atakuwa kashaji-establish vya kutosha na kuiweka LFC katika zama zake...and from there WE WILL NEVER WALK ALONE anymore!

Viva BR...viva.
 
nice satire

but i stick to my observation

BR took a risk that none of the new manager would take, to spend 2-4 years searching for success, the rest were promising krapp

anyway, it is up to the owners to decide, but Liverpool is in better hands of a beginner
 
Rafa is a good manager so is Jose
they are good in a "rich team" not a poor liverpool team

kumbuka Hanks and Gillet screwed liverpool to death, they left a team that was as poor as fulham

would you hand Mourinho or rafa a club like fulham and expect successs?/

you must be out of your mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…