Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

XI yetu ilukuwa hv. Mignolet; Toure,Agger,Skrtel,Sakho; Henderson,Gerrard,Lucas; Sturridge,Aspas,Moses; mtazamo wangu naona Enrique angeanza tungepeleka mashambulizi mengi zaidi katika kipindi cha kwanza.
 
Thanks kwa wote waliotupa pole! kwanza jana ndiyo tumecheza mpira kwa dkk zote 90. Mechi zilizotangulia tulikuwa tunaonekana kuchoka kuanzia dkk ya 65.
Lakini bado tunahitaji kiungo wa kushambulia mwenye nguvu vinginevyo ndoto zetu zitayeyuka tena.
 
Punainen

News hii imenisikitisha sana Kamanda wangu. Yani utafikiri Mi ndiyo mwenye club!

Philippe Coutinho blow for Liverpool Fc GONGA HAPA



Liverpool Fc midfielder Philippe Coutinho will be out until late october with a shoulder injury that needs surgery,the club have confirmed.

Imenitouch sana mkuu!

Copy kwa Kaizer Pazi

Kaka Pengo linaonekana kabisa.....duh...leo sijui itakuwaje
 
Wakuu mko wapi?! Hebu leteni habari nini kinaendelea..Japo sina uhakika na chama letu kwa sasa kutokana na perfomance yetu tangu Coutinho aumie...
 
Hakimbii mtu tunaipenda timu tulikuwa tuna tizama game ila game haikuwa na moto sana hongera kwa wapinzani wametumia nafasi unajuwa nafasi za mabao zilitudondokea nyingi hatukuzitumia tatizo bado ni middle ya kati anayewachezesha striker ukitema coutinho hatuna lambda luis alberto na manager hamuamini tizama Wenzetu Kagawa alivyocheza, Henderson si mchezaji wa wing ya kulia bora hata Jordan ibe ila kuanzia kipa,mabeki,na striker tunao sturidge na Suarez game mbaya kwao sababu hakuna playmaker , kolo toure ndio manofthematch wa LFC. LFC itafanya vizuri ni kati tu na tupende kupiga cross kwenye magoli ya Wenzetu sio kila saa Pasi tu.
 
Kwa hiyo tumefungwa... Sasa tukomae na league japo bado kuna FA pia.
 
Kaka tumepiga mpira wa maana! Man U walikuwa wanautafuta mpira kwa tochi, tumekosa magoli mengi sana ya wazi! Rooney alifichwa kisawasawa.

Soka la hali ya juu Liverpool na tukicheza hivi kwenye mechi za ligi tutakuwa tunawania ubingwa!

You will never walk alone Steve Gerald;You will never walk alone The KOPS!
 
Soka la hali ya juu Liverpool na tukicheza hivi kwenye mechi za ligi tutakuwa tunawania ubingwa!

You will never walk alone Steve Gerald;You will never walk alone The KOPS!
Kwenye ligi kinachoangalia ni matokeo na sio kucheza pasi nyingi,wakati mwingine unatakiwa ucheze vibaya lakini ushinde.Liverpool defensive wako vizuri kuanzia golikipa, Toure,Agger,Lucas,Skirtel na Gerrard tatizo liko kwa mawinga na viungo washambuliaji
 
Kaka tumepiga mpira wa maana! Man U walikuwa wanautafuta mpira kwa tochi, tumekosa magoli mengi sana ya wazi! Rooney alifichwa kisawasawa.

Ndo mpira hata game ya ligi ambayo liva walishinda Man ndo walicheza zaidi muda mwingi Man walikuwa na possession 60 kwa 40 lakini liva wakashinda.

Kuhusu rooney si kweli kuwa alifichwa ila jana alicheza nafasi nyingine alikuwa kiungo si mshambuliaji nafasi yake ilichukuliwa na Kagawa. Jana Mchezaji bora wa mechi alikuwa Rooney na Flopy of the mechi alikuwa Daniel Sturridge[h=3][/h]
 
[h=3]Wayne Rooney Top of the Match[/h]The match-day captain led from the front with another sparkling display. Looked dangerous every time he was on the ball and only some fine saves from Mignolet stopped him from scoring late on.
 
Soka la hali ya juu Liverpool na tukicheza hivi kwenye mechi za ligi tutakuwa tunawania ubingwa!

You will never walk alone Steve Gerald;You will never walk alone The KOPS!

Umatemate..naona pamepooza humu..wacha nipachangamshe kidogo..
 

Attachments

  • 26eac5dfc67eca1549e89fd7a0262ca1.jpg
    26eac5dfc67eca1549e89fd7a0262ca1.jpg
    60 KB · Views: 51
  • d458034d172aea2c0657c3d33ea42612.jpg
    d458034d172aea2c0657c3d33ea42612.jpg
    69.5 KB · Views: 45
Back
Top Bottom