Hii timu mashabiki wake huwa wanakuwaga over 45 kimiaka
Wana-Liverpool wenzangu huu sasa ni ugonjwa........naubatiza Jina la "self-esteemlessness".
Binafsi sikubaliani kabisa na mtizamo wa hapo juu kutokana na sababu hizi:
1) tayari tumeshacheza na Manure na tumemchapa. Why not hao wengine "wakubwa" ulowataja?
2) huyo unayemwita kibonde WBA alimchapa Manure (tena OT kabisa), huku sisi tukimchapa jana 4-1
3) misimu mingi huko nyuma Liverpool hupoteza points nyingi kwenye hii michezo ya mwanzoni mwa msimu. Msimu huu imekuwa tofauti...so, kwa nini tusiwe na optimism ya kufanya vizuri this season?
Mimi nina imani sana msimu tutafanya vizuri (sina uhakika na ubingwa though) iwapo:
1) pair ya SAS itakuwa injury-free kwa sehemu kubwa ya msimu. Vijana sasa hivi wako very hot!
2) Rodgers atamtumia zaidi Cotihno pale kati badala ya Henderson ili kuipa midfield yetu extra creativity. Kwa kweli mimi binafsi naungana na opinion ya Alex Ferguson kuhusu Henderson - he simply doesn't deserve to be in that red shirt!
3) mwezi January tutawauza Aspas na Henderson halafu ile bid yetu kwa Diego Costa iliyoshindwa last time sasa iwe re-submitted pale Athletico Madrid.
Tukifanikiwa hiyo ya 3 hapo juu, hata ubingwa tunaweza kuanza kuuota for once!
Sahihi kabisa...and they are stress free persons. I am proud to be part of Merseyside family.Hii timu mashabiki wake huwa wanakuwaga over 45 kimiaka
Coutinho is reserved for next week against Arsenal. Tunakwenda Emirates kufungua mwanzo wa mwisho wa jogging ya Mr. Wenger and his teenagers.Si unajuwa Lucas amerudi na Coutinho kashapona hajapangwa tu Leo.
Nzi umeshanunua na kusoma autobiography ya Sir Alex Ferguson? Sidhani kama itakuwa the best sell kwenye huu mtaa kutokana na aliyoyasema humo. Kwenye chapter inayoeenda kwa title: Liverpool - A Great Tradition, Ferguson anasema:
Nzi what is the difference between running from knees and running from hips? Is there any other footballer who runs from his knees?
- Liverpool are eight players short of constructing a squad that could win the Premier League, though he could always feel their breath on the back of his neck.
- Steven Gerrard is or was not a top top player in the world but for Liverpool, though he once wanted to sign him anyway.
- That it was absolute nonsense for Gerrard or Lampard to be considered superior to Paul Scholes.
- He nearly bought Stan Collymore but he felt fortunate not to have made that signing once he saw him playing for Liverpool.
- But I was more interested with his comment on Jordan Henderson that Utd did not buy him because he runs from his knees with a straight back rather than his hips (which he says is more in keeping with the modern footballer). He added that Henderson's knee running "might cause him problems later in his career".
Mbu I have got an extra copy of the autobiography? Fancy having a copy?
See more: Brendan Rodgers should have read Sir Alex Ferguson's book in full before retaliating to news stories - Telegraph
cc. Pazi, TIMING
Nakubaliana na wewe kila mtu anamaoni yake akitaka kuandika kitabu ili auze babu kuhusu Steven gerrad kachemsha labda aongekee Steven gerrad wa Leo hata zidane kamshangaa kuhusu Steven ila pia sioni sababu ya watu kulalamika Kama LFC fan, najuwa Steven gerrad alikuwa top vipi, ila wanadamu kipande kidogo cha maneno kinaweza kumuuzi mtu ndomana keane na Bosnich wakajibu na Owen akaongelea mwenyewe how good alikuwa kwa LFC na alivyo m turn down sir alex na George graham Arsenal wakati ana umri wa miaka 12, sema watu tusimjie juu Sir Alex kuhusu Liverpool sizani atakuwa kasema yote Mabaya kuna mazuri pia yatakuwepo, pia imeonyesha Sir Alex vipi alikuwa anakosa usingizi kuhusu Liverpoolfc kuliko timu zengine. Kuhusu handerson na LFC kuhitaji 8 players na kenny kumtetea Suarez ni kweli yaliobaki kachemsha ila Kama LFC fan Sir Alex was a TOP TOP TOP manager and Steven Gerrad hatamuandazimu anajuwa alikuwa top vipi ushabiki tuweke pembeni, nimechunguza wa zungu wakitoa kitabu ni kutoa dukuduku Lao sie tuwe watizamaji mpira tuwachane na mambo Yao ya vitabu hata kitabu cha Steven gerrad sina muda nacho sio mungu.This is total rubbish from Ferguson. I only share his opinion on Henderson.
Wana-Liverpool wenzangu huu sasa ni ugonjwa........naubatiza Jina la "self-esteemlessness".
Binafsi sikubaliani kabisa na mtizamo wa hapo juu kutokana na sababu hizi:
1) tayari tumeshacheza na Manure na tumemchapa. Why not hao wengine "wakubwa" ulowataja?
2) huyo unayemwita kibonde WBA alimchapa Manure (tena OT kabisa), huku sisi tukimchapa jana 4-1
3) misimu mingi huko nyuma Liverpool hupoteza points nyingi kwenye hii michezo ya mwanzoni mwa msimu. Msimu huu imekuwa tofauti...so, kwa nini tusiwe na optimism ya kufanya vizuri this season?
Mimi nina imani sana msimu tutafanya vizuri (sina uhakika na ubingwa though) iwapo:
1) pair ya SAS itakuwa injury-free kwa sehemu kubwa ya msimu. Vijana sasa hivi wako very hot!
2) Rodgers atamtumia zaidi Cotihno pale kati badala ya Henderson ili kuipa midfield yetu extra creativity. Kwa kweli mimi binafsi naungana na opinion ya Alex Ferguson kuhusu Henderson - he simply doesn't deserve to be in that red shirt!
3) mwezi January tutawauza Aspas na Henderson halafu ile bid yetu kwa Diego Costa iliyoshindwa last time sasa iwe re-submitted pale Athletico Madrid.
Tukifanikiwa hiyo ya 3 hapo juu, hata ubingwa tunaweza kuanza kuuota for once!
Ferguson anazeeka vibaya..nadhani ameona yuko nje ya game na LFC inaonekana kuimarika ameamua kurusha physiological attacks Anfield ku affect morali wa vijana...
This is total rubbish from Ferguson. I only share his opinion on Henderson.
...I bet its you Mr Benitez being Nervous, ha ha ha haaaaa... QM upo???? Man U wanakuja hao,... wot a gud week for the Gunners and Red Devils...
MIND THE GAP!!!!
Bwana la Maini naona limeingia Nyongo leo, Poleni sana. IT'S JUST A GAME. Man Utd Kama tunanawaaaaaaaaa
Nzi umeshanunua na kusoma autobiography ya Sir Alex Ferguson? Sidhani kama itakuwa the best sell kwenye huu mtaa kutokana na aliyoyasema humo. Kwenye chapter inayoeenda kwa title: Liverpool - A Great