Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii tumeipoteza, ilikuwa mechi ngumu sana. Bado kuna mechi nyingi muhimu, tukung'ute vumbi tujiandae kwa mechi ijayo.YNWA.
 
You have walked alone today!

Shyrose a.k.a Suarez Zombi mnyonya damu!
 
Still tuna nafasi.Kwa mwendo wanaoenda nao chelsea,sidhani kama wataweza kuhimili kishindo cha liverpool.Tuangalie game ijayo na tuachane na hawa wapiga kelele.
Naona wamesahau kuwa wale waliopo juu wote wamepishana point moja.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Yani wewe jidanganye!
Hiyo tarehe 29 nakunyonya damu na Shyrose wako a.k.a Zombi!
 
Yani wewe jidanganye!
Hiyo tarehe 29 nakunyonya damu na Shyrose wako a.k.a Zombi!
Tunaulenga mwezi na jua na hata tukivikosa itatua tu juu ya nyota na mabo yatakuwa shkopa...
Our main target ni kucheza UCL next season,ila hata tukichukua ubingwa itakuwa sio mbaya mkuu...

Kumbe shida yenu ni kucheza UCL?

Yani nakuweka kapuni! Sisi tunautaka ubingwa Wa EPL na UCL!

Chezea Chelsea wewe!?
Nilikuwepo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…