ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
mkuu pole sana ndio mpira huoLiver moja! Wapiga kelele mko wapi?! Au mnategea muone upepo kwanza?!
ft city 2 - 1 liv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu pole sana ndio mpira huoLiver moja! Wapiga kelele mko wapi?! Au mnategea muone upepo kwanza?!
Jamani, yule mshika kibendera aliyenyanyua offside kwa Rahiim na goli likakataliwa, ana makengeza au?! Hakukuwa na offside yoyote pale.
Aaah mkuu, akili zangu tena! Hongera mna timu nzuri, mmejitahidi sana.sure mkuu ile ilikuwa goli sema sijui tu mshika kibendera akili zako..
Aaah mkuu, akili zangu tena! Hongera mna timu nzuri, mmejitahidi sana.
Mbili ni nyingiii!! So liverpool sasa hiv ipo nafasi ya nne?
umenena mkuu liverpool wana timu nzuri ndo maana wameishinda man city leo
Unajitahidi sana! Naona unajua kusoma na kuandika! Ila sidhani kama unaelewa hayo unayosoma! Utakuwa Div-5 mzuri wewe.umenena mkuu liverpool wana timu nzuri ndo maana wameishinda man city leo
Lakini sema ule ukweli.........L'pl Fc lile bao la kwanza ambalo refa wa akiba alisema ni off side si uonevu tu?
Rejao sema ukweli tuache na ushabiki wa soccer!
Inaonekana haya makosa yanatokea sana Etihad manake hata Arsenal walikataliwa goli kwa style hii
Unajitahidi sana! Naona unajua kusoma na kuandika! Ila sidhani kama unaelewa hayo unayosoma! Utakuwa Div-5 mzuri wewe.
Still tuna nafasi.Kwa mwendo wanaoenda nao chelsea,sidhani kama wataweza kuhimili kishindo cha liverpool.Tuangalie game ijayo na tuachane na hawa wapiga kelele.
Naona wamesahau kuwa wale waliopo juu wote wamepishana point moja.
"Nlikuwepo":bolt:
....Ikizingatiwa kuwa msimu huu huu tayari kuna watu wamepigwa 4,wengine 6 na wengine 7 pale machinjioni Etihad!!
poa basi tufanye 2-2,au sio.
Tunaulenga mwezi na jua na hata tukivikosa itatua tu juu ya nyota na mabo yatakuwa shkopa...Yani wewe jidanganye!
Hiyo tarehe 29 nakunyonya damu na Shyrose wako a.k.a Zombi!
na wengine wamepigwa 2 jana duh!
Goal difference nzuri kwa aliyepigwa 2-1 kuliko wa 4-1 au yuke mwenziwe wa 6-3!
Man City walichukua uchampioni wa 2011/12 kwa goal difference. Remember?
Tunaulenga mwezi na jua na hata tukivikosa itatua tu juu ya nyota na mabo yatakuwa shkopa...
Our main target ni kucheza UCL next season,ila hata tukichukua ubingwa itakuwa sio mbaya mkuu...
"Nlikuwepo":bolt: