Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Martin Skrtel is your the weakest link at CB time to get rid of him...
 
Chezea Mourinho wewe?


Ninafuatilia kupitia Super sport 3 Mourinho akihojiwa na akakiri ya kwamba anamshangaa refa hajatoa penati katika faulu aliyefanyiwa Suarez pale kwenye box penati na Samwel Eto!
Anaendelea kusema ya kwamba marefa inabidi wawe makini sana na watende haki!

Webb hakutenda haki hata kidogo!
Mechi ya leo ingesomeka 2-2
 
Si tunachoomba usije kimbia kama kawaida yako but believe it or not mechi ya leo ni ngumu sana na kuna asilimia kubwa ya Chelsea kupigwa.

Mkuu nilikwambia na yametimia!

Mimi Naelewa Falsafa ya Chelsea vizuri sn! Yani kwa game Km hizi inakua kuna kitu unakihisi mpaka kwenye Damu!

Abramovic na Mourinho na wachezaji na mashabiki na uongozi wote Wa timu wako pamoja! Kwahiyo kushinda hiyo ni lazima! Man city wao wanajifanya pale Etihad hawafungiki na timu ikiweka mguu pale inapigwa vibaya Km mbwa mwizi! Sisi Chelsea Mwezi Wa pili tutakua Etihad, mtaona Mou atakavyo mfanya city!
 
Dah! Na hii mechi tumepoteza... Asante webb!!! Jambo zuri ni kuwa bado tuna mechi nyingi za kufanya vizuri, na baadhi ya wachezaji wetu majeruhi wataanza kurudi karibuni... Hatuko vibaya sana. YNWA.
 

Ata Chelsea walinyimwa penalty kumbuka tu! Kwahiyo alikua anafanya kusawazisha!
 
It is the Premier League against Suarez.... Time to move away from the Premier League for Suarez. The referees can't be that bias against one man like this.
 
Martin Skrtel is your the weakest link at CB time to get rid of him...

Mkuu, kila timu ina ubovu kwa namna fulani na kwa sehemu fulani... Pamoja na udhaifu wetu wote, tatizo liloigharimu Liver ktk mechi hizi mbili ni marefa. Makosa yanayofanywa na marefa dhidi ya Liver kwenye mechi kubwa ni ya makusudi mno.
Karibu wenye kutoa mapovu!
 

Nakubaliana na wewe kila timu ina ubovu ktk sehemu moja au mbili, na marefa wamewaua mechi 2 mfululizo.... Lakini ukiangalia Skrtel anavyokaba ni ovyo kwa timu inayotaka kubeba kombe na kuingia CL. Ameshawakosesha pointi zaidi ya 3 kwa mechi chache za liverpool nilizoangalia
 

Nyie ndio mlikuwa mansema Man United ndio inabebwa,mara timu ya FA,Kila siku huwa nasema kila timu hubebwa
 

Mourinho ni mtu wa mind games,siku zote huongea mazuri akishinda
 

Hahaaaa ..refa kafanyaje..suarez ana kazi ya kunyanyua nyanyua mikono kama muimba kwaya...mxxxxxx..mimemo ile
 
Skrtel anakunywa viroba afu anaingia uwanjani...nyambafuuu
 
Kutoka wa kwanza x'mass mpaka wa tano mwaka mpya.........
Sio mbaya mmejitaidi ila now kila mtu analudi kwenye nafasi yake haliyo zoea....
 

mkuu usemi wako tayari umesadifu/ umekina kikosi cha mourinho leo? Chezea mo wewe!
 
Hahaaaa ..refa kafanyaje..suarez ana kazi ya kunyanyua nyanyua mikono kama muimba kwaya...mxxxxxx..mimemo ile

Kama umefuatilia mechi mbili za mwisho za Liverpool na hujui marefa waliboronga kiasi gani, basi wewe kweli utakuwa huchezi mbali na viroba...
 

Inaonekana lugha ya kiingereza yakupa shida sana. Omba msaada w kutafsiriwa kama haujui au haukumuelewa Mourinho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…