Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Tupo mkuu. Hii kitu tusiposhinda leo kwisha habari yetu walah
Mwanangu hamshindi! Yani Mou lazima awafanye vibaya Leo!
Chezea Mourinho wewe?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo mkuu. Hii kitu tusiposhinda leo kwisha habari yetu walah
Chezea Mourinho wewe?
Si tunachoomba usije kimbia kama kawaida yako but believe it or not mechi ya leo ni ngumu sana na kuna asilimia kubwa ya Chelsea kupigwa.
Ninafuatilia kupitia Super sport 3 Mourinho akihojiwa na akakiri ya kwamba anamshangaa refa hajatoa penati katika faulu aliyefanyiwa Suarez pale kwenye box penati na Samwel Eto!
Anaendelea kusema ya kwamba marefa inabidi wawe makini sana na watende haki!
Webb hakutenda haki hata kidogo!
Mechi ya leo ingesomeka 2-2
Martin Skrtel is your the weakest link at CB time to get rid of him...
Mkuu, kila timu ina ubovu kwa namna fulani na kwa sehemu fulani... Pamoja na udhaifu wetu wote, tatizo liloigharimu Liver ktk mechi hizi mbili ni marefa. Makosa yanayofanywa na marefa dhidi ya Liver kwenye mechi kubwa ni ya makusudi mno.
Karibu wenye kutoa mapovu!

ktk siku ambayo utashuhudia mpira na kumjua mourinho ni kesho!
Jikumbushe mechi ya arsenal na umuhimu wa ile game kwa arsenal na mkakati wa mourinho ulivyotimia asilimia 100 ingawa hatukushinda!
Nawaheshimu liver na wapinzani wetu lkn mou ni kiboko yao! Mechi ya kesho ni ngumu kwa liver na c chelsea na tayari mou ameshaanza kuwaua liver kisaikolojia kwa kuwapamba kua wao liver ndio mabingwa msimu huu kwa 7 bu hawashilki mashindano mengi zaidi ya epl tu!
Narudia tena! Kesho mtamjua mou kua ni nani! Yani huyo suarez, sijui kotinho na stearing kesho lazima wapotee!
Kikipangwa kikosi cha chelsea nitakupa tena dondoo zangu
thx
Hahaaaa ..refa kafanyaje..suarez ana kazi ya kunyanyua nyanyua mikono kama muimba kwaya...mxxxxxx..mimemo ile